Mzee Warioba: Miaka 60 ya Uhuru tunaanza kurudi kule kule kwenye matabaka ya Waheshimiwa na Makabwela!

Mzee katiba yako ipo wapi??!!!
 

Tumerejea tulipotoka? Je awamu hii alishawahi Kupigwa vibao?
 
Ni afadhali kurudi kule kule kuliko kuongozwa na watu wasiojulikana aka mazombie
 
Mbona afazari tuliko toka kuliko awamu ya 5 na sita
 
Mungu mbariki mzee Warioba
 
Bora mara 100 ya hawa kuliko mashetani ya Sukuma gang.

Mama kamatia hapohapo bado Makonda.
 

Attachments

  • FB_IMG_1636980250441.jpg
    28.6 KB · Views: 1
Tumerejea tulipotoka ,je awamu hii alishawahi Kupigwa vibao?
Kwani vibao si alipigwa wakati wa Kikwete;ambaye ndie mshauli mkuu wa Samia.Walioba kasema kweli tupu, Nchi hii tunaanza kurudi kwa mambo tuliokwisha kusahau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…