Inflation kwa sasa ni tatizo la Dunia nzima,kule US kwenyewe sasa hivi inflation iko 6.3% na FED wameishiwa mbinu kuipunguza kwa sasa wanahaha kuongeza debt ceiling ili waendelee kukopa mpaka pale Yesu atakapokuja kama atakuja kwelina ndo maana bidhaa zikipanda Bei hazishuki.....!!!
Inflation kwa sasa ni tatizo la Dunia nzima,kule US kwenyewe sasa hivi inflation iko 6.3% na FED wameishiwa mbinu kuipunguza kwa sasa wanahaha kuongeza debt ceiling ili waendelee kukopa mpaka pale Yesu atakapokuja kama atakuja kweli
Tozo ilikuwepo hata nyakati za watendakazi Bashite na basha wake SabayaOohndio maana tozo imerudishwa kimya kimya kweli inflation Dunia nzima hamkosi la kujitetea [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Piga kazi tumecheleweshwa mno kama taifa mama
Nyooo kamsaidie gaidi wa kichaga kwanza anateketea achana Sukuma Gang hao siyo size yenuBora mara 100 ya hawa kuliko mashetani ya Sukuma gang.
Mama kamatia hapohapo bado Makonda.
hawa wazee wengine watulie tu, kama wanalo la kuongea waende kimya kimya kumshauri mama kuliko kumlipua huku nje, hawajengi kitu wakifanya hivyo, na zaidi ya yote wataanzisha uadui mpya wapoteze muda kwenye kushughulikiana badala ya kujenga nchi. kwa heshima yake kwanini asimshauri tu internally kuliko kuja kumsemelea kwa watu huku nje?"Ubabe na unyonge kwa sasa ni wazi ndilo jambo linaloendelea nchini."
Hayo ni maneno ya mzee Warioba akiuponda Utawala unaoendeleza sera za kuwanyonya wanyonge na kuwakumbatia wenye mamlaka na Mali jambo ambalo mzee amesema tulikuwa tumeshaanza kuyasahau.
Msikilize wenyewe ITV kuanzia saa 3 usiku huu
Nyie si mlimsema hayati
kaacha mizizi inayo chepua upyaNyie si mlimsema hayati