Mimi ni shabiki wa Magufuli. Nakumbuka alikosoa utawala wa Magufuli. So, nampongeza kuwa na ujasiri wa kuongea mawazo yake. HaogopiMtu akiongea unachotaka kusikia lazima utampenda tuu
Babu yetu na ni hazina yetu. Anaishi katika haki, upendo na amani. Angalieni hazina yetu babu yetu anavyocheza na wajukuu zake.Kama kuna mtu ambaye nimeshuhudia kwa macho na masikio yangu akiongea mawazo yake na kukemea pale anapoona mambo yanaenda ndivyo sivyo, basi ni Mzee Warioba.
Huyu mzee hapindishi maneno.
Binafsi namuheshimu sana.
Ikiwa Makonda hajamuomba msamaha kwa kumshambulia Huyu Mzee, namshauri akaombe msamaha.
That was the right thing to do. Tofauti na hivyo ilikuwa kuiingiza nchi kwenye constitutional crisis. Upo uwezekano mkubwa kwamba wewe ungekuwa mmoja wa watu wa kwanza kupiga kelele.Huyo kinyago anayeua watu toka visiwani anaweza kumuua huyu mzee. Ukweli ni kwamba mabeyo alifanya kosa kubwa kuruhusu nchi hii kuingia utumwa wa kiarabu kukubali kutawaliwa mgeni huyu mbaya. Ulaaniwe popote ulipo mabeyo ulaaniwe shetani Pepo la kitumwa toka visiwani ushuhudie kifo Cha aibu cha Abduli na wanao wengine. Uje ushuhudie sehemu mbaya ya maumivu kabla uhai wako kukutoka wote tuseme ameni
Mzee warioba ni mzalendo Sana aisehKama kuna mtu ambaye nimeshuhudia kwa macho na masikio yangu akiongea mawazo yake na kukemea pale anapoona mambo yanaenda ndivyo sivyo, basi ni Mzee Warioba.
Huyu mzee hapindishi maneno.
Binafsi namuheshimu sana.
Ikiwa Makonda hajamuomba msamaha kwa kumshambulia Huyu Mzee, namshauri akaombe msamaha.
Ikiwa Makonda hajamuomba msamaha kwa kumshambulia Huyu Mzee, namshauri akaombe msamaha.Kama kuna mtu ambaye nimeshuhudia kwa macho na masikio yangu akiongea mawazo yake na kukemea pale anapoona mambo yanaenda ndivyo sivyo, basi ni Mzee Warioba.
Huyu mzee hapindishi maneno.
Binafsi namuheshimu sana.
Ikiwa Makonda hajamuomba msamaha kwa kumshambulia Huyu Mzee, namshauri akaombe msamaha.
Una uhakika ni JPMThat was the right thing to do. Tofauti na hivyo ilikuwa kuiingiza nchi kwenye constitutional crisis. Upo uwezekano mkubwa kwamba wewe ungekuwa mmoja wa watu wa kwanza kupiga kelele.
Mtu aliyetusababishia yote haya ni JPM. Alikosea sana kumpendekeza huyo kilaza kuwa running mate wake. Laiti angejua mtu aliyekuwa anampendekeza automatically angekuja kuwa mrithi wake, sina shaka kwamba JPM angefanya uamuzi tofauti na uamuzi alioufanya!
Nuanga mkono hojaKama Samia angekuwa na hekima japo kidogo, angepuuza matakwa ya mashetani wamzungukao, wanaomshauri kwa hila nyingi. Samia ni vema angeamua kumaliza kipindi cha mpito, na kupumzika. Nafasi ya Urais, kwa kuzingatia uwezo wake, ni kubwa mno kwake. Wanaomzunguka kwa kuujua uwezo wake, wanamzungusha kadiri wapendavyo, na kumdidimiza kwenye uchafu wa kila aina.