PreGE2025 Mzee Wasira: Jeshi Lazima Lielewe Aina ya Itikadi ya Siasa za Nchi Wanayoilinda

PreGE2025 Mzee Wasira: Jeshi Lazima Lielewe Aina ya Itikadi ya Siasa za Nchi Wanayoilinda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
83,659
Reaction score
90,151
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Steven Wasira, amesema si jambo la ajabu kwa majeshi kufahamu siasa za nchi wanazozilinda.

Akizungumza na wananchi na wanachama wa CCM wa Wilaya ya Bahi, mkoani Dodoma, Aprili 23, 2025, Wasira alisema kuwa taasisi yoyote ya ulinzi inapaswa kuelewa mwelekeo wa kisiasa wa taifa ili iweze kulinda kwa uaminifu na weledi.

“Hakuna jeshi duniani ambalo halijui siasa ya nchi yake. Jeshi letu linafahamu kuwa linatakiwa kulinda nchi ya kijamaa, ya kidemokrasia, na ya watu wake.”
 
Chadema wote hakuna anaweza mkarobia Mzee Wasira Kwa uelewa
Kama ni kumkarobia sawa, we umeona mimi nimeongea habari za CHADEMA hapo. Kwa nini usijifunze hata kufikiri kidogo. Yaani wewe unawaza mambo ya chama tu, kwa akili kama hizi unaweza kuua watu kisa Chama.
 
Back
Top Bottom