ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Chadema wote hakuna anaweza mkarobia Mzee Wasira Kwa uelewaSijui hata kama Wasira naye kaelewa alichokuwa anaongea.
Mixed ujamaa na ubepariAina ya itikadi ya kisiasa ya nchi wanayoilinda, ni itikadi ipi hiyo, ujamaa. Ubapari au ukomunisti?
Wajukuu msiokuwa na akili lazima msaidiwe kuongozwa.Umwambie hivi...!
Ni wakati wa yeye kulea wajukuu akuachie wewe hii kazi walau utamfanya sam00 amalizie kipindi chake hiki
Naichukia sisiyem kama madawa ya kulevyaWajukuu msiokuwa na akili lazima msaidiwe kuongozwa.
Kama una akili timamu huwezi kuipenda CCMNaichukia sisiyem kama madawa ya kulevya
enewei..!
Kama ni kumkarobia sawa, we umeona mimi nimeongea habari za CHADEMA hapo. Kwa nini usijifunze hata kufikiri kidogo. Yaani wewe unawaza mambo ya chama tu, kwa akili kama hizi unaweza kuua watu kisa Chama.Chadema wote hakuna anaweza mkarobia Mzee Wasira Kwa uelewa
Asha jifia huyoChadema wote hakuna anaweza mkarobia Mzee Wasira Kwa uelewa
Sijui hata kama Wasira naye kaelewa alichokuwa anaongea.
Kijana hizi sio itikadi kajielemishe zaidi au gugo tu kabla hujaja kujiaibisha hapaMixed ujamaa na ubepari
Hapo Bado hujaichukia Hadi uchukie.Naichukia sisiyem kama madawa ya kulevya
enewei..!
Ila ni nini?Kijana hizi sio itikadi kajielemishe zaidi au gugo tu kabla hujaja kujiaibisha hapa
Chadomo ndio imekufaAsha jifia huyo
Ila ni nini?
Ambayo msingi wake ni nini kama sio Itikadi/ideas za Kisiasa?Socialism na capitalism ni mifumo wa kiuchumi sio itikadi kiongozi! Jikumbushe kdg siasa/civics za fomfoo...
Ndo mana ceo wa serikali anataka turudi veta jamani, wala simlaumu anajua watu wake na taifa lake uwezo wao, anyway am out namuachia wasira aelimishe sasaAmbayo msingi wake ni nini kama sio Itikadi/ideas za Kisiasa?