Mzee Wasira sisi Wananchi hatuna ugomvi na CCM hayo maridhiano unayosema ni ya Nini?

Mzee Wasira sisi Wananchi hatuna ugomvi na CCM hayo maridhiano unayosema ni ya Nini?

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
12,835
Reaction score
23,584
Nimekusikia katika hotuba Yako unasema kuwa hautafanya maridhiano na mtu mmoja na kwamba utafanya maridhiano na jamii, asasi za kiraia, jamii za kimataifa n.k

Sasa nakuuliza tu Kuna ugomvi gani Kati ya jamii na CCM?
 
Hatutaki kutekana....mtunajua uvccm wako kazini kufanya ujinga huu....na policcm na tiss ccm
 
Kwahiyo kwa ufahamu wako maridhiano ni kwasababu ya ugomvi tu?

Si mnasema vijana hawana ajira?
Maisha magumu?
Umeme wa uhakika hakuna?
Huduma za afya sio nzuri?

Ile imesemwa kitaalamu expert wangu
 
Maridhiano ni kwamba watu wanadai eti walidhulumiwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Kwa hiyo kuna mambo ya kujadili kabla hatujakwenda kwenye Uchaguzi Mkuu.
 
Kwahiyo kwa ufahamu wako maridhiano ni kwasababu ya ugomvi tu?

Si mnasema vijana hawana ajira?
Maisha magumu?
Umeme wa uhakika hakuna?
Huduma za afya sio nzuri?

Ile imesemwa kitaalamu expert wangu
Kama ni hivi basi maridhiano yalianza na ujenzi wa wa bwawa la umeme, SGR, madaraja, wamachinga kuachiwa kufanya biashara mabarabarani n.k
 
Wanaongopeana huko CCM, wakiongea na hakina Lissu, Zitto na mafisadi et al nchi inahitaji maridhiano.

Kimataifa Magufuli mpaka anafariki alikataa mialiko zaidi ya 100.

Wanaishi dunia yao, thanks god wapinzani wenyewe ni hakina Lissu, ambao watanzania walio wengi washahitimisha ni (mental-mental).

Hayo ya kwenye mikutano ya CCM na mawazo yao ya maridhiano na kucheka wenyewe.

Nchimbi ni mtu muhimu kwenye siada za fitna na ku-mobilise support ya kura ndani ya chama. Lakini hizo akili za kushawishi umma hana kwa lolote. Skills zake ni fitna tu.
 
Kwahiyo kwa ufahamu wako maridhiano ni kwasababu ya ugomvi tu?

Si mnasema vijana hawana ajira?
Maisha magumu?
Umeme wa uhakika hakuna?
Huduma za afya sio nzuri?

Ile imesemwa kitaalamu expert wangu
Baada ya wassira kuwa makamu akafanya maridhiano ajira zitaanza kuwepo, maisha yatakua mepesi, umeme utakua wa uhakika na huduma za afya zitakua nzuri?

Hayo ndio mawazo yako?
 
Kwahiyo kwa ufahamu wako maridhiano ni kwasababu ya ugomvi tu?

Si mnasema vijana hawana ajira?
Maisha magumu?
Umeme wa uhakika hakuna?
Huduma za afya sio nzuri?

Ile imesemwa kitaalamu expert wangu
Kukosa ajira ,maisha magumu, kukosa umeme na huduma za afya ni ugomvi?
 
Utekaji unaoendelea dhidi ya Wapinzani na Wanaharakati hakuna hata mmoja alieuongelea.
 
Back
Top Bottom