Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Hatutaki kutekana....mtunajua uvccm wako kazini kufanya ujinga huu....na policcm na tiss ccmNimekusikia katika hotuba Yako unasema kuwa hautafanya maridhiano na mtu mmoja na kwamba utafanya maridhiano na jamii, asasi za kiraia, jamii za kimataifa n.k
Sasa nakuuliza tu Kuna ugomvi gani Kati ya jamii na CCM?
Wasira umri unamfanya aongee yasiyo elewekaNimekusikia katika hotuba Yako unasema kuwa hautafanya maridhiano na mtu mmoja na kwamba utafanya maridhiano na jamii, asasi za kiraia, jamii za kimataifa n.k
Sasa nakuuliza tu Kuna ugomvi gani Kati ya jamii na CCM?
Kama ni hivi basi maridhiano yalianza na ujenzi wa wa bwawa la umeme, SGR, madaraja, wamachinga kuachiwa kufanya biashara mabarabarani n.kKwahiyo kwa ufahamu wako maridhiano ni kwasababu ya ugomvi tu?
Si mnasema vijana hawana ajira?
Maisha magumu?
Umeme wa uhakika hakuna?
Huduma za afya sio nzuri?
Ile imesemwa kitaalamu expert wangu
Hayo hayahitaji maridhiano,yana hijati mabadiliko(reforms).Kwahiyo kwa ufahamu wako maridhiano ni kwasababu ya ugomvi tu?
Si mnasema vijana hawana ajira?
Maisha magumu?
Umeme wa uhakika hakuna?
Huduma za afya sio nzuri?
Ile imesemwa kitaalamu expert wangu
Baada ya wassira kuwa makamu akafanya maridhiano ajira zitaanza kuwepo, maisha yatakua mepesi, umeme utakua wa uhakika na huduma za afya zitakua nzuri?Kwahiyo kwa ufahamu wako maridhiano ni kwasababu ya ugomvi tu?
Si mnasema vijana hawana ajira?
Maisha magumu?
Umeme wa uhakika hakuna?
Huduma za afya sio nzuri?
Ile imesemwa kitaalamu expert wangu
Kukosa ajira ,maisha magumu, kukosa umeme na huduma za afya ni ugomvi?Kwahiyo kwa ufahamu wako maridhiano ni kwasababu ya ugomvi tu?
Si mnasema vijana hawana ajira?
Maisha magumu?
Umeme wa uhakika hakuna?
Huduma za afya sio nzuri?
Ile imesemwa kitaalamu expert wangu
Hao watu ni wakina nani?Maridhiano ni kwamba watu wanadai eti walidhulumiwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Kwa hiyo kuna mambo ya kujadili kabla hatujakwenda kwenye Uchaguzi Mkuu.
Halafu hao jamaa hawajaonekana kabisa kikaoni... kunani?Anataka maridhiano na akina January Makamba na Nape
Wana jazbaHalafu hao jamaa hawajaonekana kabisa kikaoni... kunani?
Unaelewa nini kuhusu maridhiano?Kukosa ajira ,maisha magumu, kukosa umeme na huduma za afya ni ugomvi?