Pre GE2025 Mzee Wassira, Amani ni matokeo ya Haki, unatangazaje Amani wakati Watu wanatekwa, wanauwawa? Mzee jaribu kua na Busara!!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kifo cha Mzee ALLY MOHAMED KIBAO Kkiliniumiza mno najaribu kuwaza scenario ya dakika zake za MWISHO hapa duniani. Je?
1. Walimuua instantly?
2. Walimtesa kwanza?
3. Alijua yeye binafsi kwamba jua la kesho hataliona baada ya kuwa abducted?
4 Sauti yake ya MWISHO ilikuwaje?

Nawaza sana last moments za Mzee kibao nasikia walimtoboa macho kwanza how painful was that? Ukiyawaza haya yote halafu usikie gorilla mmoja anasema amani amani unatamani kumpigia kisu cha shingo.
 
Haya majitu yameshakuwa ni mashetani, hakuna kitu kinachoitwa utu ndani yao! mtu yeyote anaejaribu kukosoa njia zao na namna wanavyoitafuna nchi, watamtenda kwa namna ambayo hata wanyama wa mwituni hawawezi fikia unyama wa aina yao...maskio yao yanataka yaskie watu wakiimba nao neno amani huku matumbo ya wananchi wengi yakiwa yamekunjamana Kwa njaa ya muda mrefu.
 
Jambo la kwanza,
hakuna chama cha siasa cha upinzani Tanzania chenye uwezo wa kushika dola, kuunda serikali na kuongoza nchi, ispokua CCM pekee.
Hili uende ukamueleze hadi mwenyekiti wa chama chako Taifa.

Pili,
matukio ya utekaji na kupotea kwa waTanzania wasio na hatia, yanaudhi na kuumiza sana.

Na kwanini matukio haya mabaya ya kifedhuli hutokea kwenye nyakati za uchaguzi wa ndani ya chadema pekee na kuwaathiri chadema wenyewe kwa kiasi kikubwa?

hii ni dalili ya wazi kwamba upinzani hususani chadema wakishika nchi kutakua na matukio ya umwagaji damu wa kutisha huenda ikawa zaidi ya utekaji 🐒
Mwashambwa hunaga akili.
 
Kifo cha Mzee ALLY MOHAMED KIBAO Kkiliniumiza mno najaribu kuwaza scenario ya dakika zake za MWISHO hapa duniani. Je?
1. Walimuua instantly?
2. Walimtesa kwanza?
3. Alijua yeye binafsi kwamba jua la kesho hataliona baada ya kuwa abducted?
4 Sauti yake ya MWISHO ilikuwaje?

Nawaza sana last moments za Mzee kibao nasikia walimtoboa macho kwanza how painful was that? Ukiyawaza haya yote halafu usikie gorilla mmoja anasema amani amani unatamani kumpigia kisu cha shingo.
Damu ya Mzee ally kibao upo mikononi mwao na tume ya uchunguzi ,na saa100 na tume yake ya uchunguzi damu ya Mzee wetu kibao haitawaacha salama mpaka mwisho wa Dunia,hakika unyama wa maccmhatari kwa ustawi wa haki,na amani fake wanayo hubiri kina wassira,sema Mzee kibao uchunguzi wake umeishia wapi.hakika na maccm nanyi Kuna siku mtakufa hamtaishi milele hapa duniani ,wassira tubu dhambi zako Mzee muda ni mchache hapa duniani mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke anasiku chache hapa tunapita kwa Nini tunatendea ubaya????
 
Jambo la kwanza,
hakuna chama cha siasa cha upinzani Tanzania chenye uwezo wa kushika dola, kuunda serikali na kuongoza nchi, ispokua CCM pekee.
Hili uende ukamueleze hadi mwenyekiti wa chama chako Taifa.

Pili,
matukio ya utekaji na kupotea kwa waTanzania wasio na hatia, yanaudhi na kuumiza sana.

Na kwanini matukio haya mabaya ya kifedhuli hutokea kwenye nyakati za uchaguzi wa ndani ya chadema pekee na kuwaathiri chadema wenyewe kwa kiasi kikubwa?

hii ni dalili ya wazi kwamba upinzani hususani chadema wakishika nchi kutakua na matukio ya umwagaji damu wa kutisha huenda ikawa zaidi ya utekaji 🐒
Hiyo siyo kweli! Piga hesabu viongozi wangapi mliotoa upinzani na mnawatumia CCM? Hao peke yake wangebaki upinzani si wanatosha kuongoza nchi.
Kwa taarifa Yako CCM ikisambaratika, Kuna wengine watatoka CCM na kuhamia upinzani
 
Gentleman,
kufanya siasa kwa ramli ni kupoteza muda na wakati,

kwanini CCM hawahamii upinzani na badala yake wapinzani ndio wanahamia CCM kwa mamilioni yao?🐒
 
Amani ni tunda la HAKI, unapoiba Uchaguzi ni sawa na kuwazulumu Wananchi HAKI yao ya kikatiba.
acha upotoshaji gentleman,

yaani ususie uchaguzi, hujapiga kura halafu baada ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa uje hapa kumbwelambwela ati ng'we ng'we ng'we kura zimeibiwa, alaaaa!

hiyo si sawa hata kidogo na haukubaliki kabisa 🐒
 
Back
Top Bottom