Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Nimemsikia mzee Wassira akinadi kuwa CCM ni chama kikubwa hivyo wapo wanaoingia na kutoka kuachiana madaraka.
Amesema kuwa Mpina kuwa Mbunge wa Kisesa kwa miaka 20 inatosha.
Swali la msingi kama uongozi ni kupokezana vijiti mbona mzee Wassira hajawaachia wengine zadi ya miaka 40 ni kiongozi wa kada mbalimbali?