Tetesi: Mzee Wassira kuhamia CHADEMA

Ngoja tuone labda atapewa nafasi ya upendeleo kwa maana wataka ubunge na urais wa CDM michakato ilishafungwa.

Au anaenda kustaafia siasa huko?
 
Huu ni mwebdelezo wa kuimaliza chadema
 
Kama ni kweli basi ntashangaa sana kama chadema wakimpokea huyo babu
 
Akina Chacha Marwa hawapendi ujinga ujinga ndio maana wengi ni makamanda CDM sio watu mdebwedo.
 
utakuwa unaongelea webiro wasira yule mtoto wa wasira ambaye juzi alikuwa na ACT wazalendo.
 
Anawezaje kujiunga na chama ambacho alisema kinakufa?
 
Aliwaisema Chadema ni chama cha mashetani,video ipo
 
Alafu akikosa anachokitafuta baadae arudi CCM huku akizusha kashifa nyingi na uongo mwingi kuhusu CHADEMA.
Huyu si ndio alitutabiria kifo huyu? Nauomba uongozi wa juu wa CHADEMA utuelewe, huku hatumtaki aisee! Anataka aje agombee kwenye jimbo la Bulaya? Hatumtaki, aende nccr mageuzo!
 
Siamini kuwa Mzee Wassira anaweza kutoka CCM. Hizo ni porojo tu.
 
Siamini kuwa Mzee Wassira anaweza kutoka CCM. Hizo ni porojo tu.
Kama alitoka wakati ule nini kitamzuia kutoka mida hii? Ila atoke akaungane na Bulaya, haiwezekani kabisaaaa.
 
Hatimae chadema yapata mgombea urais .
Niko gym kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…