Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
CCM wameamua kutunza mazingira wanabana matumizi ya karatasiAtakuwa ameambiwa fomu ni moja, akamuombe ambae amechukua tayari atoe copy.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM wameamua kutunza mazingira wanabana matumizi ya karatasiAtakuwa ameambiwa fomu ni moja, akamuombe ambae amechukua tayari atoe copy.
Unaweza kukuta unayeniuliza ni raia wa Malawi.Kazi nzuri gani ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]FUTUHI, ndiyo.... ni FUTUHI!
Na nyinyi maccm acheni kumuogopa MembeBwashee usiogope!
Ata jiungaje na chama alicho kitabiria kifo??Kuna tetesi hapa jijini Dodoma kuwa kada mkongwe wa CCM aliyewahi kuhudumu Nccr mageuzi mzee Stephen Wassira atajiunga Chadema.
Inadaiwa kuwa mzee Wassira amechukua uamuzi huo bila kuweka bayana sababu za kufanya maamuzi hayo.
Tusubiri, muda ni msema kweli.
Maendeleo hayana vyama!
Tangu enzi za Nyerere yeye yupo tuuuuAmekuwa Mbunge Kawa Waziri Anatakaka Nini Tata Mura!
Kwani Lowassa alifata nini?!Amekuwa Mbunge Kawa Waziri Anatakaka Nini Tata Mura!
Yeye atakuwa wa 12 hapo Ufipa!Kama anataka NAFASI achukue huko Kwenu ambapo mnataka NAFASI ZA DOLA.
Alafu akikosa anachokitafuta baadae arudi CCM huku akizusha kashifa nyingi na uongo mwingi kuhusu CHADEMA.
Siasa ni sayansi......labda ameitwa kukifufua!Ata jiungaje na chama alicho kitabiria kifo??
Kwenda upinzani ni business yaani ukienda cdm unapotaka kurudi inakuwa habari ya mjini yaani arejea nyumbani nkKuna tetesi hapa jijini Dodoma kuwa kada mkongwe wa CCM aliyewahi kuhudumu Nccr mageuzi mzee Stephen Wassira atajiunga Chadema.
Inadaiwa kuwa mzee Wassira amechukua uamuzi huo bila kuweka bayana sababu za kufanya maamuzi hayo.
Tusubiri, muda ni msema kweli.
Maendeleo hayana vyama!
Tangu enzi za Nyerere yeye yupo tuuuu
Membe siyo mwanaccm bwashee!Na nyinyi maccm acheni kumuogopa Membe
kachuja huyo...... arudi tu kijijini kwake Bunda huko akachunge mbuzi!Kuna tetesi hapa jijini Dodoma kuwa kada mkongwe wa CCM aliyewahi kuhudumu Nccr mageuzi mzee Stephen Wassira atajiunga Chadema.
Inadaiwa kuwa mzee Wassira amechukua uamuzi huo bila kuweka bayana sababu za kufanya maamuzi hayo.
Tusubiri, muda ni msema kweli.
Maendeleo hayana vyama!
Siasa haina kutulia!Huyu jamaa anahangaika sana. Si atulie tu.
Yawezekana chama kinamuhitaji zaidi!kachuja huyo...... arudi tu kijijini kwake Bunda huko akachunge mbuzi!