Mzee Wassira: Madaktari wanasema Niko vizuri. Mimi mwenyewe Siwezi Kujua ila madaktari wanasema Niko Fiti!

Mzee Wassira: Madaktari wanasema Niko vizuri. Mimi mwenyewe Siwezi Kujua ila madaktari wanasema Niko Fiti!

Hatukumuogopa Magufuli tuogope huo msukule muda wote umelala na kububujisha udenda tu? Umesikia viongozi wa Chadema wanamzungumzia huyo Kasongo? Huyo ni takataka tu.
Wewe unayemjadili Mzee Wasira ni kibaraka wa chadema Sasa kwanini badala ya kuzungumza sera za chadema unamzungumzia Mzee Wasira?! Sera za chadema huzijui au unezisahau mara baada ya Mzee Wasira kuwa makamu mwenyekiti wa CCM?!
 
Sera za Chadema tunazungumza kwa wapiga kura siyo kwa vibaka kama wewe , hilo zee lenu halina adabu linasinzia tu kalitibieni kwanza ugonjwa wa malale
 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Wassira amesema madaktari wanasema yuko Fiti, Yeye mwenyewe hawezi kujua lakini madaktari wanasema yuko Fiti

Wassira alikuwa akiongea na Waandishi wa Clouds media na kusisitiza " nyie Wenyewe mmenikuta Niko hapa nawasubiri hii maana yake Niko vizuri sana"

View attachment 3236439

Source Clouds media
Yaani ubora wa Afya yako mpaka uambiwe na madaktari. Madktari kazi kubwa ya kwanza kwa mtu yoyote hata kama atakufa masaa machache wao watamytia moyo, yeye na ndugu zake maka pale atakapo kata pumzi. Kwahiyo asidhani hata siku moja Daktari atakuambia kuwa wewe hivi sasa umeshakongoroka baki nyumbani usubiri kufa. Ni wewe mwenyewe unatakiwa kujichunguza na kujipima kwa mazingira ya kawaida tu je unauwezo kiasi gani. Kisha unajitathimini na kazi ulizo nazo unajipimia kadiri ya nguvu ulizo nazo. Wasira kwa sasa ni mzee ni mtu aliye paswa kwa sasa kupumzika nakuwa mshauri tu kwa jamii wala si kwa chama tena kwasababu Mtu mzoefu na aliye fikisha umri kama wake anapaswa awe kissima cha hekima na kila mtu aje ateke busara kutoka kwake bila kuangaliavitikadi, Dini wala rika. Kwani wazee kamavyeye i aghalabu sana kuwakuta wako hai. Makamo kama yake kwanza hata uwezo wakumbukumbu unapotea. Asifikie kuwa kama mzee Jomo kinya alivyokuwa akiambiwa yeye mzee anasema Muulizeni mama ngina leo amepata ngapi.
 
Hii inadhihirisha ni kwa kiasi gani mzee Wasira akili yake ilivyochoka. Haelewi hata madaktari wanapomwambia kuwa yupo vizuri.

Daktari anapokuambia upo vizuri, anakuambia kwa kuzingatia umri wako. Kwa mfano, mzee wa miaka 100, akawa ana uwezo wa kutembea mita 200 kwa siku, na ana uwezo wa kwenda chooni mwenyewe, anaweza kukumbuka nyumbani pake, jina lake, hata kama hawezi kusimama hata kwa dakika 20 bila ya kukaa chini au kulala, hata kama wakati wote anasinzia, kitabibu huyu mzee yupo vizuri sana, lakini haimaanishi kuwa anaweza kufanya yale yote ambayo a healthy man can do.
 
Sasa Wassira ana makosa gani kwa namna alivyojielezea?
 
Unataka niweke nyaraka za serikali hapa? Wewe amini unavyoamini lakini Kasongo umri wake ni miaka 87. Mnafannya mzee wa watu kama msukule, watu wabaya sana nyie
Wanataka kumtoa kafara jukwaani mzee wawatu,nayeye hajalijua hilo anaona kama anapendwaaaaaa sana na Ccm kumbe Kafara ya damu kongwe
 
Wanataka kumtoa kafara jukwaani mzee wawatu,nayeye hajalijua hilo anaona kama anapendwaaaaaa sana na Ccm kumbe Kafara ya damu kongwe
Na ndiyo mpango mzima ulivyo hayo ni maelekezo ya mganga kuwa CCM wakitaka kushinda uchaguzi mwaka huu lazima kiongozi mkongwe afie jukwaani ndiyo siri ya Kasongo kupewa kazi hiyo bila mwenyewe kufahamu, ni jukumu la watoto au wajukuu zake kumuokoa .
 
Back
Top Bottom