Sipati Picha Tundu lisu akiwa Mwenyekiti wa Chadema namna watakavyotunishiana msuli na Wassira
Wassira ni muumini wa Serikali mbili kuelekea Moja
Tundu lisu ni muumini wa Serikali tatu
Ila akishinda Mbowe ataonewa sana na Tyson Maana hata Kwenye maridhiano ndio alikuwa akikutana naye
Ahsanteni sana 😄