Mzee Wassira na Lisu walikuwa NCCR Mageuzi pamoja, Wote Wawili hawatakagi Ujinga. Walikutana tena Bunda Kwenye KESI ya Bulaya Mzee Tyson akagaragazwa

Mzee Wassira na Lisu walikuwa NCCR Mageuzi pamoja, Wote Wawili hawatakagi Ujinga. Walikutana tena Bunda Kwenye KESI ya Bulaya Mzee Tyson akagaragazwa

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Sipati Picha Tundu lisu akiwa Mwenyekiti wa Chadema namna watakavyotunishiana msuli na Wassira

Wassira ni muumini wa Serikali mbili kuelekea Moja

Tundu lisu ni muumini wa Serikali tatu

Ila akishinda Mbowe ataonewa sana na Tyson Maana hata Kwenye maridhiano ndio alikuwa akikutana naye

Ahsanteni sana 😄
 
Back
Top Bottom