Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawa ndo virusi wa mpira wetu,, Akilimali kufanya migogoro wakati hana uwezo wa kulipa hata mchezaji mmoja mwisho yanga ikaanza kuomba omba, huyu naye analeta migogoro ambayo itazuia simba kufika kule ilikofika msimu uliopita, stupidity!!
sisi tunataka maendeleo ya mpira wenyewe wanaleta siasa, nachukia sana watu kama hawa, hizi timu zingemilikiwa na mtu Mmoja tungeona maendeleo ya kwel siku zote
kwan Roman Abromovic alianzisha Chelsea au aliinunua ?Kama MTU anataka kumiliki timu ni rahisi tu akaanzishe club kama ilivyokuwa kwa mbao fc na timu nyingine
Huyu ndio mzee kilomoja?View attachment 1152399
Kila la kheri Mzee wanaokuombea kifo wataanza wao
Hawa wapiga kelele watapita wataicha club km walivyoikuta
Mwanasandaland halisi
Kwan anaitwa Nani nananafanya kazi gani?