Mzee wetu anawatakia weekend mjaarabu

Kama MTU anataka kumiliki timu ni rahisi tu akaanzishe club kama ilivyokuwa kwa mbao fc na timu nyingine
 
Simba ikibaki kama ilivyo miaka yote anapata faida gani...yaani vilabu vyote vilivyoendelea vinamilikiwa na watu au kikundi cha watu yeye bado amebaki na ujima wake.
 
Kuna watu hawajui kazi ya mdhamini ni nini, kazi ya mdhamini yoyote iwe wa mpira, ngo au vyama vya siasa ni kutunza mali za sehemu husika na ndio maana wanasajiliwa RITA lakini Mo dewji anataka kuleta ujanja wake kama alivyokuwa ananunua mali za serikali yetu anataka apewe hati wakati yeye anamiliki hisa 49 na mpaka sasa bado hajatoa pesa yoyote.Huyu Mzee anatakiwa kulindwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…