Mzee wetu Sumaye huu ni wakati wa kurudi nyumbani. CHADEMA wanahisi wewe ni pandikizi

Mzee wetu Sumaye huu ni wakati wa kurudi nyumbani. CHADEMA wanahisi wewe ni pandikizi

Subira the princess

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2018
Posts
4,555
Reaction score
4,758
Wasalaam, wahenga wana msemo kwamba usipookoboa utaula wa chuya.

Kufuatia wimbi la viongozi mbalimbali wa CHADEMA kutimkia CCM (hasa wale waliohamia kutoka CCM) wana CHADEMA asili wamejenga hofu ya kutowaamini viongozi wote waliosalia ndani ya CHADEMA ambao walihamia kutoka CCM.

Hapo juzi kulikuwa na uchaguzi wa Mwenyekiti wa kanda ya Pwani na kilichotokea ni anguko baya kwa Waziri Mkuu Mstaafu bwana Sumaye.

Sababu moja kubwa iliopelekea wajumbe kumkataa Sumaye ni tetesi kwamba huu jamaa amekua na mawasiliano ya karibu na jiwe hivyo kuna hofu kwamba huenda huyu nae ni pandikizi la CCM kama yule Cecilia mwambe wa kule kusini.

Sasa kwa kuwa CHADEMA wameshastukia mchezo mchafu wa CCM ni vyema bwana Sumaye usipotezee muda wewe rudi nyumbani CCM kumenoga nenda kachukue mamilioni yako upumzike kama bwana mamvi kwani CHADEMA imara itajengwa na wana CHADEMA wenyewe sio CCM, hivyo Mh sana Sumaye rudi nyumbani kumenoga CHADEMA ina wenyewe baba.
 
na ccm hatumtaki mamruki huyo bakini naye t si mlimpenda wenyewe
 
Chadema wanastuka kumekucha. Hawa ni makachero kutoka CCM na serikalini ambao wamekunywa damu ya kijani yaani Sumaye na Lowasa walikuwa na kazi kuu maalumu ya kufanya ndani ya Chama kikuu cha upinzani Tanzania Chadema ambayyo tayari majenerali wameimaliza.
Ni ngumu kushindanisha akili ndogo na akili kubwa.
Kama drafti vile Chadema wamebaki na kete moja tu yakusukuma, yaani supa hii hapa.
 
na ccm hatumtaki mamruki huyo bakini naye t si mlimpenda wenyewe
Kila mtanzAnia anayezaliwa ni Mwana cCM. Na akishika Uongozi wa Nchi anaishi Kiapo chake rasmi.
Cdm ni sehemu ya mawazo mbadala ya kimapinduzi. Na ndio check and balance ya Taifa.
Kwahiyo hauna sababu ya kumfukuza Sumaye akija CCM. A minute akitoka chadema anakua mwana CCM by default.
 
Back
Top Bottom