Uchaguzi 2020 Mzee wetu wa Monduli (Edward Lowassa) akabidhiwa kofia rasmi na Dkt. Magufuli

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,399
Reaction score
8,594
Kwenye kampeni za CCM baada ya wasanii kupewa zawadi yakofia leo mzee wetu Lowassa amekabidhiwa zawadi ya kofia kutoka kwa mgombea Urais kupitia Tiketi ya CCM ndugu JMP

Kampeni zinaendelea
 
Mshana Jr mkuu naomba elim yako juu ya hizo kofia kama nahisi kuna kitu kipo nyuma ya pazia kwanini wote walio pewa ni watu ambao walisha wahi kuwa na ushawishi mkubwa kwenye jamii au bado wana ushawishi mkubwa kwenye jamii
 
Nayeye amepewa urithi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…