SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Hizo ni mbadala wa mwenge.Mshana Jr mkuu naomba elim yako juu ya hizo kofia kama nahisi kuna kitu kipo nyuma ya pazia kwanini wote walio pewa ni watu ambao walisha wahi kuwa na ushawishi mkubwa kwenye jamii au bado wana ushawishi mkubwa kwenye jamii