KALI YA KUFUNGIA MWAKA..., Msanii nguli wa taarabu nchini Mzee Yusuph yupo nchini africa kusini kushoot video yake mpya ya taarabu. hii itakuwa video ya kwanza ya taarabu kufanyika bondeni na director mkubwa nchini . bado haijafahamika kama video hiyo itapata nafasi ya kutambulishwa kwenye vituo vikubwa ya africa kama MTV BASE au TRACE TV. Source: clouds tv
wewe ni ****!....,acha husda!...mpongeze na mtie moyo!.,safari ni hatua!
....Prof J alianza kupost "posters" za HBC,leo ni one of the legendaries wa bongo fleva,+ Mheshimiwa Mbunge!
...usianzishe uzi kikuda!
Nyambaff!
matusi ya nini sasa? huwezi mtetea mmeo bila lugha chafu?
MTV sikuhizi wanapiga nyimbo za dakika 20?