Mzee Yuseph aenda south africa kushoot video ya taarabu na director mkubwa

Mzee Yuseph aenda south africa kushoot video ya taarabu na director mkubwa

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
KALI YA KUFUNGIA MWAKA

Msanii nguli wa taarabu nchini Mzee Yusuph yupo nchini africa kusini kushoot video yake mpya ya taarabu. hii itakuwa video ya kwanza ya taarabu kufanyika bondeni na director mkubwa nchini . bado haijafahamika kama video hiyo itapata nafasi ya kutambulishwa kwenye vituo vikubwa ya africa kama MTV BASE au TRACE TV.

Source: clouds tv
 
MTV sikuhizi wanapiga nyimbo za dakika 20?
 
ukisikia kuruka stage ndo huku, kutoka video za laki 2 (camera za harusi) hadi video za mamilioni doh!
 
KALI YA KUFUNGIA MWAKA..., Msanii nguli wa taarabu nchini Mzee Yusuph yupo nchini africa kusini kushoot video yake mpya ya taarabu. hii itakuwa video ya kwanza ya taarabu kufanyika bondeni na director mkubwa nchini . bado haijafahamika kama video hiyo itapata nafasi ya kutambulishwa kwenye vituo vikubwa ya africa kama MTV BASE au TRACE TV. Source: clouds tv

wewe ni ****!....,acha husda!...mpongeze na mtie moyo!.,safari ni hatua!
....Prof J alianza kupost "posters" za HBC,leo ni one of the legendaries wa bongo fleva,+ Mheshimiwa Mbunge!
...usianzishe uzi kikuda!
Nyambaff!
 
wewe ni ****!....,acha husda!...mpongeze na mtie moyo!.,safari ni hatua!
....Prof J alianza kupost "posters" za HBC,leo ni one of the legendaries wa bongo fleva,+ Mheshimiwa Mbunge!
...usianzishe uzi kikuda!
Nyambaff!

matusi ya nini sasa? huwezi mtetea mmeo bila lugha chafu?
 
Kwenye msafara wa mamba na kenge wamo!!
 
Haya ndio mabadiliko ya jpm.. hahaa just kidding
 
nahisi wimbo utakuwa mfupi pia sio zaidi ya dakika 5
 
Wimbo wa dakika 25 video yake itakuwa bei kubwa Sana.
 
Ishakuwa fasheni sasa kurekodia South Africa. Sijui Kingwendu naye ataenda lini?
 
Back
Top Bottom