Mzee Yusuf kwani vepeee?

hahahaha ndo kwa mfano unaolewa wewe wa kwanza halafu anataka akuletee mwenzie utakataa???
Akaaaaa yani hata ubimdogo siutataki kabisa maisha ya hivo ni shida, mme akitaka kuongeza namwambia asipate shida ngoja nipishe niwaache huru
 
Akaaaaa yani hata ubimdogo siutataki kabisa maisha ya hivo ni shida, mme akitaka kuongeza namwambia asipate shida ngoja nipishe niwaache huru
Ha ha ha we Ni kiboko wakat wenzio wanasema watabanana hapo hapo
 
Kuandika hajui, hajui kama l na r ni herufi tofauti mwenyewe anajiona kijike hivi nae anaimba taarabu? Au taarabu zake studio ni instagram?
Hahahah
Huyo taarabu zake za instagram
Halafu ni zaidi ya mswahili

Loh

Hawa wanaume wanajua kutafutaga viranga sometimes
 
Ninavoutamani huu mchele alafu una mawe na chuya za kutosha jaman...embu mwite afafanue
Hahahahaaa wadau wameshafafanua,chezea JF wewe?
Ila nimewafuatilia huko insta nimecheka sana.
 
umenifurahisha mnoo
 
MUNGU AMSAIDI MZEE YUSUF MAANA ANAWEZA AKARUDI JAHAZI BAND KUFANYA TENA TAARABU

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…