Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,171
- 34,394
Ahahahaaa Uke wenza Una tabuLeila ana ustaarabu flani hivi, chiku alichambwa na duller nae akajibu ha ha ha ha nlicheka duller alisarenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahaaa Uke wenza Una tabuLeila ana ustaarabu flani hivi, chiku alichambwa na duller nae akajibu ha ha ha ha nlicheka duller alisarenda
Maisha ya uke wenza hapana kwakweliAhahahaaa Uke wenza Una tabu
hahahaha ndo kwa mfano unaolewa wewe wa kwanza halafu anataka akuletee mwenzie utakataa???Maisha ya uke wenza hapana kwakweli
Akaaaaa yani hata ubimdogo siutataki kabisa maisha ya hivo ni shida, mme akitaka kuongeza namwambia asipate shida ngoja nipishe niwaache huruhahahaha ndo kwa mfano unaolewa wewe wa kwanza halafu anataka akuletee mwenzie utakataa???
Ha ha ha we Ni kiboko wakat wenzio wanasema watabanana hapo hapoAkaaaaa yani hata ubimdogo siutataki kabisa maisha ya hivo ni shida, mme akitaka kuongeza namwambia asipate shida ngoja nipishe niwaache huru
Akuu sibanani na mtu mie nataka wangu peke angu kama wanamuiba tu anarudi poa ila sio mke officialHa ha ha we Ni kiboko wakat wenzio wanasema watabanana hapo hapo
hata mimi nimemshangaa sana huyu jamaaMwanaume anayeongelea mambo ya mke wake mbele za watu hajakamilika huyo ...
HahahahKuandika hajui, hajui kama l na r ni herufi tofauti mwenyewe anajiona kijike hivi nae anaimba taarabu? Au taarabu zake studio ni instagram?
Ninavoutamani huu mchele alafu una mawe na chuya za kutosha jaman...embu mwite afafanueUbuyu mchachu huu,sijui ni mimi tu?
Hahahahaaa wadau wameshafafanua,chezea JF wewe?Ninavoutamani huu mchele alafu una mawe na chuya za kutosha jaman...embu mwite afafanue
kijana mmoja hv anaitwa mzee yusufuMzee Yusuf ndo nani
bwana fulani la magomeniMzee Yusuf ndo nani
umenifurahisha mnoomarehemu alilianzisha kwa jamaa ambapo jamaa aliugua ugonjwa wa ajabu nusura ya kufa ndipo ndugu zake wa Unguja wakamwita kwenda kumtibia na nakumbuka alipotea kama miezi mitatu hivi akiuguzwa kwao huko na alipotibiwa na " miziziology " yao tena ile ya Ki Zanzibari jamaa ndugu zake wakaona isiishie hapo hivyo na wao walipize kisasi na si tu kwa dogo ( Marehemu ) bali waitokomeze kabisa Bendi nzima. hivyo jamaa alivyorejea tu jijini na " mitunguli " yake ya Kiunguja Pembani kwanza akaanza kutoa " advertise " ya " ndumba " zake kwa hilo Kundi pale Travertine ambapo kuna siku kulikuwa na Show ya Kundi la Marehemu ambapo ilipiga mvua pale pale magomeni mataa tu lakini kwingine kukavu kisha wahudhuriaji wakadorora kuja na kama haitoshi wakati huku nje mvua ikinyesha mule ndani vyombo vyote vilikuwa vimeshasetiwa lakini kila wakivijaribu sauti haitoki lakini wakiwa wanaongea wao kwa wao ( namaanisha ) wanamuziki wa ile Bendi sauti zao zilikuwa zinatoka kama kawaida hivyo show ikahairishwa. baada ya hapo Kundi la Marehemu likapata ziara ya kwenda Mbeya na Iringa ambapo nakumbuka Marehemu dereva wao ambaye alikuwa ni Rafiki yangu mkubwa mno Zungu ( ukitaka ujue habari yake nenda pale BIAFRA mkabala na zile basi za kukodiwa za Coastal zinapopaki jirani na Chuo Kikuu cha OUT utazipata habari zake zaidi ) ndiyo aliwapeleka huko Mikoani vizuri tu lakini cha kushangaza Marehemu Zungu dereva wao walipofika tu maeneo ya Iringa walipopaki kula kuna mtu alivunja nazi mbele ya lilipokuwa gari lao kitu kilichowashangaza wengi ila wao wakadhani jamaa alikuwa ni CHIZI kumbe mchizi alikuwa yupo katika gari ndogo binafsi ambayo ilikuwa inawafuatilia kwa nyuma ( ratiba yao ya safari ya kimuziki huko " adui " mkuu alikuwa nayo ). walipomaliza kupiga msosi wakaondoka vizuri tu na wakafika salama. cha kushangaza wakati wakiwa huko ziarani ghafla Marehemu Issa akaanza kutumiwa meseji za vitisho yeye pamoja na wenzake wanne ( 4 ) ambao ndiyo kama walikuwa viongozi wa Bendi yao na kwa hasira kumbe na wao mbaya wao walikuwa tayari wameshamjua hivyo zikaanza sasa vita vya kutumiana meseji na kutishana nani ni " mchawi " zaidi ya wenzake na hali ikawa ni hivyo hivyo na nakumbuka Bendi yao ilifanya shows mbili za kufa mtu na haijawahi kutokea katika historia ya nchi hii hasa kwa miziki ya TAARAB na walipata PESA nyingi sana kiasi kwamba hao wanamuziki wanne ( 4 ) ukimjumuisha na Issa wakawa wanamtusi mno jamaa ( mume wa wawili a.k.a alamba alamba haaaaaaamu.....). ili ujue kuwa mambo haya yapo ila tunabisha tu Marehemu Zungu ( Dereva ) wao anakuambia wakati wanarudi sasa jijini huko katikati walikoswa koswa zaidi ya mara tano ( 5 ) ambapo wakati wanakaribia maeneo ya Mikumi na akiwa spidi sana huku mbele yake kulikuwa na Lori limebeba NONDO za kufa mtu mara akaona watu wamebeba JENEZA wanakatisha hivyo katika hali ya kushtuka akakwepesha ndipo akaliingia kwa nyuma lile Lori ambapo lilimmaliza Issa aliyekuwa amehama siti ya nyuma na kuja kukaa mbele karibu na Dereva Zungu na wale WANAMUZIKI wenzake wakuu wanne ( 4 ) ambao walikuwa na BIFU na " alamba alamba hamaaaaaamu " kisha kuwaua wengineo na kuwajeruhi baadhi ndipo Dereva Zungu akaona isiwe taabu akafungua mlango na KUSEPA ( kukimbilia ) zake porini mbugani Mikumi ambapo Polisi walimsaka sana hadi wakajua kuwa atakuwa AMESHAFARIKI kumbe jamaa alichokifanya baada ya kukimbilia tu kule Mbugani akaamua azinyoe NYWELE zake zote kwani alikuwa ana tabia ya kufuga nywele nyingi wenyewe mnaziita AFRO ili kupoteza IDENTITY yake hivyo akawa ananyoa tu UPARA na ndipo jina lake halisi la Said likapotea na kuanza kuitwa ZUNGU. Baada ya hilo tukio na kujibadilisha huko Zungu akawa sasa anaishi kwa kujifichaficha lakini baadae hali ilipotulia akarejea tena mzigoni na kuamua kuendelea na kazi yake ya UDEREVA ambapo mwaka 2012 alipata DILI la kuwapeleka study tour Wanafunzi wa Chuo cha Uandishi wa Habari cha DSJ Mkoani Mbeya ndipo wakati wanarudi Dar gari ambayo Zungu alikuwa anaendesha LIKAPATA AJALI MBAYA SANA maeneo ya VIGWAZA ambapo liligongana uso kwa uso na Lori la Mafuta la Kampuni ya Lake Oil hadi kusababisha KIFO cha papo hapo cha Dereva Zungu na Mwanafunzi wa DSJ ambaye pia alikuwa ni Waziri Mkuu wa Serikali ya Wanafunzi DASJOSO Hayati Deo. Ajali hii ilisababisha Dereva Zungu apoteze macho yake yote mawili ambayo yalitoka na kuning'inia ile sehemu ya mbele ya lile basi Dogo la Coastal alilokuwa akiliendesha na kama utataka uthibitisho zaidi " google " ajali iliyoua Mwanafunzi wa DSJ kisha utajionea gari ilivyokuwa NYANG'ANYANG'A huku mchuzi wa jicho la Zungu na jicho pia vikining'inia. cha kushangaza kumbe wakati tunapeleka maiti TUMBI KIBAHA Hospital usiku ule ilibidi waje Askari wa Usalama barabarani ndipo wakati wanathibitisha MIILI ya Marehemu wote wawili ndipo mmoja wao akamkumbuka Dereva Zungu na kusema kuwa walikuwa wakimtafuta kwa muda mrefu sana lakini na yeye KAFARIKI na ajali mbaya kama ile aliyoisababisha kwa ile Bendi yetu na cha kushangaza wakati Watu wote hadi Taifa likiomboleza na kuwa na SIMANZI kubwa unaambiwa jamaa " alamba alamba hamaaaaaamu " yeye alikuwa anaendelea na Shows zake kama kawaida na huku akilewa sana.
nifah naomba niishie hapa na nikutakie tu usomaji mwema wa hii stori fupi lakini yenye majonzi na mafundisho mengi sana. usiku mwema jamani.