Mzee Yusuf kwani vepeee?

Mzee Yusuf kwani vepeee?

Asante sana cleverbright wangu,hakika wewe ni kisima cha maarifa.
Nimeisoma yote bila kuacha hata mstari mmoja.
Ruttashobolwa pitia huku....

asante na karibu sana nifah wangu ila kilichowaliza na kuwasikitisha wengi ni kwamba siku ya kesho ilikuwa Dereva Zungu aende akatoe na yeye basi lake binafsi jipya bandarini ( coastal mayai ) lakini kama haitoshi usiku huo huo alipopata ajali hiyo Mke wake ambaye ni Mwanasheria mzuri sana hapa jijini kama si nchini na yeye alikuwa anajifungua Agha Khan Hospital lakini cha mwisho kabisa kilichotuacha watu hoi hasa juu ya Kifo cha Dereva Zungu na huyo Mwanafunzi wa Chuo cha DSJ Mr. Deo ni kwamba ile safari ya study tour ya kwenda Mkoani Mbeya Dereva Zungu HAKUTAKIWA kwenda na Bosi wake ila ALIILAZIMISHA huku akileta tafrani pale ilipo Kampuni yao na wakati huo huo hata huyu Mwanafunzi wa Chuo cha DSJ Mr. Deo ambaye alikuwa ni Waziri Mkuu Serikali ya Wanafunzi DASJOSO na yeye pia HAKUTAKIWA kusafiri ila ALILAZIMISHA huku akigombana na Rais wa Serikali ya Wanafunzi wakati huo Mr. Isaac Mipao ( ambaye sasa ni Mtangazaji wa Habari wa ITV hasa zile habari za Saa ) huku Marehemu Deo akimtuhumu Mipao kwa UPENDELEO ndipo baada ya kikao kizito ikabidi Mr. Mipao awakate Viongozi wengine wa DASJOSO waliokuwepo safarini na nafasi yao akachukua Marehemu Deo ndipo mwishowe yakatokea yaliyotokea. kuna kitu cha kujifunza hapa jamani!
 
kwa hii stori yako mbona inaonesha wazi kabisa kuwa dereva zungu alikuwa na kila dalili za uzembe wakati akiwa anaendesha gari?maana ajali na kina issa kijoti kavamia na hii ya pili ilosababisha kifo chake pia kavamiana uso kwa uso na lorry...huoni kuwa jamaa nae alikuwa rough and negligent driver?halafu nlishawahi kusikia huyo zungu ni mwendesha ovyo sana wa magari japo alikuwa ni dereva mzuri...but always bad play has no good end!

hata mchawi au jini hupenda sana Mtu MTUKUTU ili kazi yake iwe rahisi KUTEKELEZEKA hivyo sishangai na wala hujakosea kusema kuwa Dereva Zungu alikuwa very rough katika UENDESHAJI wa hasa zile basi ( coastal za kukodi ) na pengine labda ndiyo maana hata " miziziology " ya bwana " alamba alamba haaaaaaamuuuu " ilifanikiwa kufanya kazi kwa Naughty Driver Ally Said a.k.a Zungu.
 
Halafu bado tunakasirika watu wanapotudharau wanawake?? Mwenyeezi Mungu anisamehe sana na aniepushe na hiki kikombe inshaallah! How can you share a D**k na maradhi yote haya jamani! Wanawake wengi wanaolewa mitala (sio wote) wamegeuka washirikina nusura wawe wachawi, kila mmoja anapulizia kwake!

Hata sishangai why jamaa maendeleo yake kurudi nyuma badala ya kusonga mbele, huku "shuntama" & huku "limbwata* & kule "nyama ya *chi!! Saa ngapi hasichanganyikiwe! ! Na hapo bado ni kama anatafuta sababu ya kuongeza mwingine!!

*Zile ndude zingekua kama kifutio sijui ingekuaje! !
Tuache unafiki. ..
Ukitaka ya kwako peke yako hama dunia.
Bora hata umjue mke mwenzio kuliko kutojua kabisa una share na nani.
Ni wanaume wachache sana, ila wapo wanaojitunza kwa wake zao pekee.
 
Tuache unafiki. ..
Ukitaka ya kwako peke yako hama dunia.
Bora hata umjue mke mwenzio kuliko kutojua kabisa una share na nani.
Ni wanaume wachache sana, ila wapo wanaojitunza kwa wake zao pekee.

Sasa mbona unaji-contract mwenyewe?? Mara ukitaka yako peke yako uhame dunia mara wapo baadhi wanaojitunza! ! Which is which madam?

Bado my point stands where it was, namuomba sana Mola nisichangie Ub** na mtu yoyote yule! We all got our short comings lakini maisha ya sasa ambapo maradhi hadi kwenye denda tu yapo ni zaidi ya Ujinga kuchangia vikojoleo tena with a guarantee ya kutotumia Condom coz ni mumewe wa ndoa!!

Besides sipendi ligi zisizo rasmi (vijembe) na mwanamke mwenzangu kisa mwanaume, wengine hatujui kusema sana.
 
asante na karibu sana nifah wangu ila kilichowaliza na kuwasikitisha wengi ni kwamba siku ya kesho ilikuwa Dereva Zungu aende akatoe na yeye basi lake binafsi jipya bandarini ( coastal mayai ) lakini kama haitoshi usiku huo huo alipopata ajali hiyo Mke wake ambaye ni Mwanasheria mzuri sana hapa jijini kama si nchini na yeye alikuwa anajifungua Agha Khan Hospital lakini cha mwisho kabisa kilichotuacha watu hoi hasa juu ya Kifo cha Dereva Zungu na huyo Mwanafunzi wa Chuo cha DSJ Mr. Deo ni kwamba ile safari ya study tour ya kwenda Mkoani Mbeya Dereva Zungu HAKUTAKIWA kwenda na Bosi wake ila ALIILAZIMISHA huku akileta tafrani pale ilipo Kampuni yao na wakati huo huo hata huyu Mwanafunzi wa Chuo cha DSJ Mr. Deo ambaye alikuwa ni Waziri Mkuu Serikali ya Wanafunzi DASJOSO na yeye pia HAKUTAKIWA kusafiri ila ALILAZIMISHA huku akigombana na Rais wa Serikali ya Wanafunzi wakati huo Mr. Isaac Mipao ( ambaye sasa ni Mtangazaji wa Habari wa ITV hasa zile habari za Saa ) huku Marehemu Deo akimtuhumu Mipao kwa UPENDELEO ndipo baada ya kikao kizito ikabidi Mr. Mipao awakate Viongozi wengine wa DASJOSO waliokuwepo safarini na nafasi yao akachukua Marehemu Deo ndipo mwishowe yakatokea yaliyotokea. kuna kitu cha kujifunza hapa jamani!
Kipo cha kujifunza na nimeshajifunza tayari.
Asante kwa maelezo/masimulizi yako yaliyotukuka.
Leo umetuliza kichwa na umeandika kwa upole sana hadi raha.
Kumbe na wewe ni mtu mzuri namna hii basi tu unajitoaga fahamu.
Nimekupendaje sasa?
Keep it up my popoma cleverbright.
 
Aanatafuta sababu ya kuacha mmoja aoe mwingine, atakae endeleza vijembe inst baada ya hili onyo kaachwa, mzee yusuph mjanja hataki wake zaidi ya wawili, akichoka mmoja anacha anaoa mwingine mradi awe na wake wawili.
 
Ila huyu bi mdogo ni mshakunaku sana, Leila yuko poa tu
nilionaga alichambwa sana na duller square somebody chiku wa mzee yusuph sjui ndo anavojiita pyuuu amekaa kishambenga sana nampenda leyle yuko kimya msiri ana stahmili anadefinition yote ya kuwa wife material
 
Ana uswahili hadi love bite anatupia instagram, ni limbukeni
 
Mtoa uzi,unatoa uzi,utafikir wote wanajua a to z,
 
Mkuu usiwe unatutajia majina mengine kwani huwa yanatukumbushia ile ajali mbaya ya ile bendi ya TAARAB iliyowaua akina Issa Kijoti na wenzie na tunabaki kutokwa tu na machozi. hakika siku ya HUKUMU mbinguni kuna Watu Mwenyezi Mungu ATAWAUNGUZA vibaya mno. naomba niishie hapa!
Funguka kidogo mkuu
 
Back
Top Bottom