KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,147
ina maana huyu ni kama yule kocha Magram alowaharibu kina Jmimi sitaki hata kumsikia. huyu ndiyo aliye sababisha jerry tegete ashuke kiwango. kila show yake tegete anaingia bule. na anamnunulia pombe hadi anazimika.sasa alivyokuwa mjumbe wa yanga ndo mwisho kabisaa!. watu wapo kambini yeye anamtorosha. mwambie amuache mtoto wetu acheze mpira. Mia
ina maana huyu ni kama yule kocha Magram alowaharibu kina J
sasa mbona na yeye ni walewale!haswa..!!
mimi sitaki hata kumsikia. huyu ndiyo aliye sababisha jerry tegete ashuke kiwango. kila show yake tegete anaingia bule. na anamnunulia pombe hadi anazimika.sasa alivyokuwa mjumbe wa yanga ndo mwisho kabisaa!. watu wapo kambini yeye anamtorosha. mwambie amuache mtoto wetu acheze mpira. Mia
Hii ya tegete nilikua siijui kumbe ndio yeye kamuharibu yule kijana wetu,basi hatufai huyu kaka!
Jamaa ana visu vikali bwana!
Ila tuseme ukweli, Mzee yusuph ameleta revolution kwenye muziki wa taarabu.
Alimuharibu na nini? mnajua maana ya kumharibu? tena eti mnasema ameharibiwa na mwanaume mwenzake....mhhhh
wake wengi au waume wengi kwa mme/mke mmoja ni moja ya kazi za shetani