Mzee Yusuf na wakeze

Mzee Yusuf na wakeze

job true true ...wameoga bila sabuni wametoka na taka shingoni...x2 mzee yusuph
 
ulisha muona wakati wa mazoezi? wenzake wanazunguka uwanja mala 8. yeye atazunguka 2 mala ya 3 atavua viatu na kubakia na socks mala ya nne atajifanya amekanyaga mwiba na kulala chini. mala asije mazoezi eti anaumwa ikifika usiku unamkuta travertine kaunga mduara kwenye show ya yusuph. wewe unaona poa?. Mia

Mia acha kunichekesha bwana, hadi nimekugongea LIKE......unajua inawezekana mie sijawaelewa bado mnachomaanisha, sasa kwanini alikuwa anachoka haraka??na huko kumharibu ni kupi hasa, hebu tuwekane wazi bwana mia
 
Enzi hizi sio za kuendekeza hayo mambo... wawe wazuri au wabaya..

acha uongo wewe mwanamke mzuri anaraha yake bwana,nazungumzia uzuri wa sura,hasa unapotoka nae ni fahari yako mwanaume,haya ni maua jamani so lazima uchume ua lililo bora!
 
Maneno ya marehemu Marijani...anasema ..ukewenza kwenu nyinyi ni fahar,lakini kwetu sisi matatizo...ukitazama clip kwa makini unamuona huyu mke wa mwanzo katika clip MZEE YUSUPH anapoanza kumzungumzia mke wake wa pili anakosa amani kiasi fulani.

Yah! ni kweli mimi pia nimekigundua iko kitu!
 
Mia acha kunichekesha bwana, hadi nimekugongea LIKE......unajua inawezekana mie sijawaelewa bado mnachomaanisha, sasa kwanini alikuwa anachoka haraka??na huko kumharibu ni kupi hasa, hebu tuwekane wazi bwana mia

anafanya asikae kambini, halafu haya mambo ya kuchomana hairuhusiwi unapokuwa kambini. inafanya mtu achoke halaka. kesho ntakuwekea picha za jerry uone. Mia
 
anafanya asikae kambini, halafu haya mambo ya kuchomana hairuhusiwi unapokuwa kambini. inafanya mtu achoke halaka. kesho ntakuwekea picha za jerry uone. Mia

Powa MIA, me nasubiri tu hzo pics bana, kumbe alimpotosha kiungo jaman!!kila akifika mazoezini miguu mdebwedo, nguvu hamna hahahahahaha
 
Back
Top Bottom