Mzee Yusuph njaa imempiga kaamua kurudi kwenye Muziki

Ndio mana tunaambiwa tuweke akiba ya maneno yani mzee Yusuf alikimbia kwa mbwembwe haswa Sijui alikusanya ka akiba kakubwa kidogo, Sasa kama ilivo ada kuwa Njaa haijawahi kupata kabisa Baunsa wa kuikabili kabisa ndio mana jamaa huyu kaamua kurudi kukata viuno mi nampongeza kikubwa apate mkate wake wa siku na Pia atatoa ajira kwa watumbuizaji, band na promoter pia watapata chochote na sie pia wauza chipsi kwenye matamasha yake tutapata chochote kitu akija kufanya show, Karibu sana mzee yusuf
 
Mzee Yusuf Hana njaa Kama wewe nyumbu unavyofikiri.
Kama mtu ana nyumba ya gorofa pale chanika,
Ana kampuni ya matofali ya cement,
Ana frem za kupangisha.
Na Ana harakati nyingine ndogo ndogo za kila siku.
funga mdomo heshimu watu.
 
Mzee Yusuf Hana njaa Kama wewe nyumbu unavyofikiri.
Kama mtu ana nyumba ya gorofa pale chanika,
Ana kampuni ya matofali ya cement,
Ana frem za kupangisha.
Na Ana harakati nyingine ndogo ndogo za kila siku.
funga mdomo heshimu watu.
Fuatilia interview Aliyofanya Na Times Fm Ndo utajua Mzee Yusuph Mikopo Inavyomtesaa
 
Kuna mengi ya kujifunza kutoka kwa watu wanaotuzunga katika haya maisha.
Hakika kuna la kujifunza kutoka kwa mzee.
 
Mzee Yusuf Hana njaa Kama wewe nyumbu unavyofikiri.
Kama mtu ana nyumba ya gorofa pale chanika,
Ana kampuni ya matofali ya cement,
Ana frem za kupangisha.
Na Ana harakati nyingine ndogo ndogo za kila siku.
funga mdomo heshimu watu.
hata mie nashangaa miradi yote ile pale chanika!! Ana eneo kubwa na limekaa sehemu nzur tu, cjui kakumbwa na nin?
 
Mzee Yusuf ni mwanadamu, bado yuko duniani na anaishi na wenzie mnataka aishi kama yuko peponi kisa nini? Ninyi hamtendi dhambi kuliko za huyo anayetafuta kwa kipaji na jasho lake?
 
Mnasema tujiajiri haya kajiajiri tena kelele mnataka nn nyie wenye vyeo vya wateule
 
'usitukane mamba kabla hujavuka mto'

eti mziki wa kishetwani;na shetani ameshamtema kwenye taarabu yake


alibugi,alitaraji angekuwa analipwa mshahara na maustaazi kumbe wao nao wanamtegemea
Acha dharau
 
Mzee Yusuf Hana njaa Kama wewe nyumbu unavyofikiri.
Kama mtu ana nyumba ya gorofa pale chanika,
Ana kampuni ya matofali ya cement,
Ana frem za kupangisha.
Na Ana harakati nyingine ndogo ndogo za kila siku.
funga mdomo heshimu watu.
[emoji16]
 
kapotea jamaa sasa anaishi kwa kujificha kama nguchiro
 
Kaja kurudi taarabu ishakufa.
Kitu kibaya ukiwa na mafanikio mwanzoni washauri wanaotaka kupitia maisha yako na pesa zako wanakuwa wengi na unaweza kufanya vitu baade ukaja kushtuka kila mtu kala kona.
Ukiona unasonga mbele futa washauri
 
Ilibid aache mziki wakat taarab imeanza kujifia yeye ameacha mzk wakat taarab ipo juu hapo ndipo alipobugi anarud mzik ushakufa akil yake anadhan yeye ndio mastermind wa taarab kumbe mambo yashabadirika kitambo ZAMAN mzee huwez kumkuta klabu za uchwara Kama mbagala kwa nyoka lakn leo anaenda na hajazi ukumbi wa watu mia

ANAVUNA ALICHOKIPANDA UKIAMUA KUWA SHETANI VAA UHUSIKA HASWA NA UKIAMUA KUWA .MCHA MUNGU MAANISHA KWELI WEWE N MCHA MUNGU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…