Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,151
- 6,261
Ndio mana tunaambiwa tuweke akiba ya maneno yani mzee Yusuf alikimbia kwa mbwembwe haswa Sijui alikusanya ka akiba kakubwa kidogo, Sasa kama ilivo ada kuwa Njaa haijawahi kupata kabisa Baunsa wa kuikabili kabisa ndio mana jamaa huyu kaamua kurudi kukata viuno mi nampongeza kikubwa apate mkate wake wa siku na Pia atatoa ajira kwa watumbuizaji, band na promoter pia watapata chochote na sie pia wauza chipsi kwenye matamasha yake tutapata chochote kitu akija kufanya show, Karibu sana mzee yusuf