Mzee Yusuph: Walio na nyimbo zangu kwenye simu zao wafute

Ni mbaya kuvaa mavazi ya imani ambayo siyo yako. Kiufupi ni unafiki tu
Mavazi ya kiarabu sio ya imani hata wakristo waarabu wanavaa vile, simuungi mkono DAB ila kwa hili unamuonea
 
Ngoja na sisi tuchume mali za dhambi kama alizochuma Mzee Yusuph kisha ndipo tutatubu.
Kama anataka fair kwa Mungu basi agawe bure kwa yatima mali alizochuma kwa dhambi, hapo ndipo atapata toba ya haki.
 
Atoe nyumba na gari zote alizozipata kupitia taarabu kwa yatima..nitamuona wa maana...
Mbona jahazi bado iko..si aifunge band
 
Mliokuwa mnasema ati Shetwani akizeeka hawi malaika mnahitaji kujichunguza sana. Mbona hawa wanabadilika??
 
Kweli man,nyimbo zilizopo kwenye simu watu wametoa pesa ambazo kwa namna moja au nyingine ndo kajengea nyumba and so far,kama dhambi arudishe vitu vyote vilivo tokana na mziki dhambi,sasa natambua inawezekana nyimbo zake zina dhambi kubwa ya kitafsiri tofauti na tunavoziskia
 
Inasemekana 5star aliusika sanaaa kweny kuwatoa kafara ni vizur alivo ungama mapema ila sjuo km Mungu atamsamehe
 
Mtaji wote aliopata wa kuuza simenti na matofali apeleke msikitini, asituzingu muhuni tu huyu.
 
Mungu azidi kumsaidia katika toba yake na ss tujifunze na kutubu
 
Awarudishie wale walionunua CD na kaseti hela zao ili wafute.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…