Mzee Yusuph: Walio na nyimbo zangu kwenye simu zao wafute

Mzee Yusuph: Walio na nyimbo zangu kwenye simu zao wafute

Aendezake huyo kaishiwa, Kwani ulikuwa hujui wakati unapiga pesa za viingilio alijua pesa yetu itaishia pale ukumbini tyuuu hatufutiii na majumba kwetu tunazo, tunazipiga
 
Yeye kama nani anayehukumu watu. Eti ukisikiliza nyimbo zake utapata dhambi.
Ajitafutie pepo kwa namna yake sio kwa kutoa hukumu
 
Turudishie hela zetu kwanza acha kujtoa fahamu umetajirka ukasepa sasa bora ukae kimya, uktaka tusisikilze nyimbo zako turudishie pesa yetu
 
Fedha zote alizopata kupitia hizo nyimbo amezitupa?

Walionunua kanda zake anaowaambia wafute nyimbo, je yuko tayari kuwarudishia fedha alizopata?
 
Ametubu dhambi gani?... Hebu tufungueni mambo na siye ambao hatujafuatilia taarifa zake...wekeni hapa nasi tumpe neno hata moja basi
 
Dini ya haki imemkolea kuliko, salama yake arudishe kila alichokipata kupitia nyimbo zake, kidogo huyo Mungu wake anaweza msamehe
 
Aendelee kuimba tu raiti kama angejua hiyo pepo anayoitaka haipo ni kuaminishana tu ujinga angendelea kutafuta rizi yake kama kawaida!
 
kuna mmoja kapiga picha na sheikh wa Dar kavaa kama Mfalme wa Doha nae amrudie Mungu tafadhai maana ni msanii balaa
 
kuna mmoja kapiga picha na sheikh wa Dar kavaa kama Mfalme wa Doha nae amrudie Mungu tafadhai maana ni msanii balaa
Ni mbaya kuvaa mavazi ya imani ambayo siyo yako. Kiufupi ni unafiki tu
 
Back
Top Bottom