Yatazungumzwa mengi sana Kuhusu huyu jamaa,lakn Mungu ndy anayetufaham kuliko sisi tunavyojifaham,kwa hyo tusimuhukum kwa Kuwa kama ni dhambi wapo waliotenda dhambi nyingi na kubwa kuliko hizo za kwake,rejea kwa Sauli na Yuda Isikarioti.Mwanadam anapotafuta fedha huamini Kuwa akzipata atakuwa ameyashinda mambo yote lakn ukweli hauko hivyo kwa kuwa fedha huja na mambo yake na kama utakuwa ulizpata kwa namna za ushirkina zinakusumbua sana.Sote tumkumbuke Mfalme Sulemani (Suleiman) baada ya kufanya uchafu wote alisema 'Yote ni ubatili na ni kujilisha upepo' Kwa hyo tusimuandame Mzee Yusuf hayo yalikuwa ni mapito tu ktk historia take ya maisha,tumwache ayafurahie maisha kama wanadam wengine.