wewe upo upande gani mkuu? 😆Mtoa hoja ana akili sana.
Ashaanzisha promo hapo.
Wanaomkubali Mzee Yusufu na wanaompinga ndo mwanzo wa kuvutana
Njaa sio udhuru wa kufanya maasia! Hawa makufar wanaokupamba humu wanafurahi kukuona umerudi kwenye "mila" zao! Kumbuka onyo hili: Hawatakaa watulie mpaka mufuate mila zao!!!,,,
Bro mtu akiwa na njaa kali na hakuna chakula kingine karibu anaruhusiwa kula hata nguruwe ili asife maana akifa njaa atakua ameudhulumu nafsi yake. Sahihi au sio sahihi?... je mzee Yusuf afe njaa au afanye awezalo kujinasua?
Konde Boywewe upo upande gani mkuu? [emoji38]
okay naimani tutasomana siku ya wananchiKonde Boy
Naimani ulitegemea ujio wako utatrend machochoro zote ila mwisho wa siku imekuwa kawaida sana tena umekuja kipindi watz wapo bize na morrison.
Mapokezi ya kawaida, show mbovu na umepoteza mvuto, na kilichobaki ni aibu na fedheha kwa upande wako. Kifupi muziki wa taarabu umeshakufa na kuzikwa muda mrefuuu na kamwe hautofufuka tena cz hauna mashabiki iwe bara iwe pwani na mambo ya vigodoro yalishafutwaga kitambo, na maukumbini tunaluka singeli za kina miss buza,
Najua global walikupamba tuh ili waingize pesa pale darLive ila kiukweli huna chamaana. Ndugu zako wakina Adija kopa, Isha mashauzi wameamia kwenye bfleva.
nb;
Mziki sio shule huwezi jipa likizo[emoji36]
naona wewe ni mgeni wa darlive, yaani pale ndio alijaza ukumbi... duh 😆Mtu kajaza watu karibia elfu 8 pale dar live halaf unaropoka eti kashuka kimziki
wivu gani?acha wivu