ogmhillu
Member
- Jul 24, 2017
- 87
- 71
MZEMBE BAADA YA KUKUTANA NA REHEMA.
MZEMBE ; Mambo Rehema?
REHEMA ; Poa!!
MZEMBE ; Kuna kitu nataka nikuonyeshe!!
REHEMA ; Kitu gani?
MZEMBE ; Twende chumbani kwako.
(Wakaenda)
REHEMA; Nionyeshe basi!
MZEMBE ; Funga mlango na Madirisha kwanza.
(Rehema akafunga)
REHEMA; Nionyeshe sasa!!
MZEMBE; Zima taa kwanza..!
(Rehema akazima)
REHEMA; Mmh... Haya nionyeshe sasa!!
MZEMBE; Haya Njoo hapa Kitandani.
(Rehema akapanda kitandani)
REHEMA; Ok, Nionyeshe.
MZEMBE ; Mwezio nimenunua saa ya Kuwaka Waka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MZEMBE ; Mambo Rehema?
REHEMA ; Poa!!
MZEMBE ; Kuna kitu nataka nikuonyeshe!!
REHEMA ; Kitu gani?
MZEMBE ; Twende chumbani kwako.
(Wakaenda)
REHEMA; Nionyeshe basi!
MZEMBE ; Funga mlango na Madirisha kwanza.
(Rehema akafunga)
REHEMA; Nionyeshe sasa!!
MZEMBE; Zima taa kwanza..!
(Rehema akazima)
REHEMA; Mmh... Haya nionyeshe sasa!!
MZEMBE; Haya Njoo hapa Kitandani.
(Rehema akapanda kitandani)
REHEMA; Ok, Nionyeshe.
MZEMBE ; Mwezio nimenunua saa ya Kuwaka Waka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]