Mzigo huu unauzwa:Asali safi tani 13.5,Dengu tani30,Choroko tani50.

DAKA MTUMBA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,288
Reaction score
805
Ni asali ya safi ya nyuki Wakubwa tani12,Dumu 600 asali ya makapi,tani moja na nusu asali ya nyuki wadogo,Dengu tani30 na choroko tani50.
NOTE:Mimi sii mwenye mzigo,njoo nikupe mawasiliano mkafanye biashara,mzigo upo Singida.
 
Kama unazo Choroko.
Lete Dar mkuu,
Tunanunua Choroko na Ufuta pia.
Bei ya choroko leo ilikuwa 1,080/= na ufuta umenunuliwa kwa 2,300/=
Karibu sana.
0659890000
[email protected]
 
Ni asali ya safi ya nyuki Wakubwa tani12,Dumu 600 asali ya makapi,tani moja na nusu asali ya nyuki wadogo,Dengu tani30 na choroko tani50.
NOTE:Mimi sii mwenye mzigo,njoo nikupe mawasiliano mkafanye biashara,mzigo upo Singida.
Kama asali OG (hasa ya wadogo) unayo bas ncheki 0718321418
 
Back
Top Bottom