Nahitaj. ushauri yenu, kama mtu anaytaka kuleta mzigo kadogo za vitu mbali mbali za kompyuta na electronics. Una safirishaje ? Kwa njia ipi kama sio kontena nzima hayfiki ?
zipo kampuni zinazoweza kukusaidia kuuleta kutoka hapo uliponunua mpaka kwako,hapa Tanzania,gharama unalipia hapa Tanzania,kama utapenda kupata maelezo ya kina tuma email: kkmarketing61@yahoo.com, tutakuunganisha na baadhi ya hizo kampuni.