habari zenu wakuu.kuna mzigo nimetumiwa
kutoka Emirates kwa njia ya posta,naskia
unaweza kuangalia kwenye net mzigo umefikia
wapi,tafadhali naomba munijuze kuhusi hili
kwa kutumia uzoefu wa DHL tracking number, number ya kutrack huwa active baada ya masaa 24 ama zaidi tangu utumiwe hiyo no, hivyo jaribu tena baada ya masaa kadhaa kupita,lazima itakupa feedback