mzigo kupitia posta

mzigo kupitia posta

akrb

Senior Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
106
Reaction score
10
habari zenu wakuu.kuna mzigo nimetumiwa
kutoka Emirates kwa njia ya posta,naskia
unaweza kuangalia kwenye net mzigo umefikia
wapi,tafadhali naomba munijuze kuhusi hili
 
Mwambia aliyekutumia akupe reference number halafu ingia kwenye website yao uone umefika wapi
 
amenipa number ila kila nikuitype inagoma.web yenyewe ni www.epg gov.ae
 
amenipa number ila kila nikuitype inagoma.web yenyewe ni www.epg gov.ae
kwa kutumia uzoefu wa DHL tracking number, number ya kutrack huwa active baada ya masaa 24 ama zaidi tangu utumiwe hiyo no, hivyo jaribu tena baada ya masaa kadhaa kupita,lazima itakupa feedback
 
Back
Top Bottom