Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Computer na vitabu havilipiwi ushuru. hutochajiwa ushuru.
acha kupotosha, mabadiliko ya bajeti mwaka wa fedha 2015/2016 computer zinalipa VAT...
acha kupotosha, mabadiliko ya bajeti mwaka wa fedha 2015/2016 computer zinalipa VAT...
Naskia kuanzia mwezi wa saba wameanza kutoza ushuru kwenye computers na vifaa vyake!!Computer na vitabu havilipiwi ushuru. hutochajiwa ushuru.
Unaagiza pc ngapi? Umepiga hesabu vizuri pamoja na nauli kweli inakuwa nafuu kuagiza?! Nilijaribu kupiga hesabu siku moja nikaona ni nafuu zaidi kununua hapahapa, wafanyabiashara wakubwa wananunua mzigo mkubwa kwa punguzo kubwa, wanasafirisha kwa unafuu mkubwa kwa meli, ukiagiza kamoja tu shipping inaweza kuwa zaidi ya $100!!Habari,kwa wale wenye uzoefu na mambo haya naomba kujua......nikiaagiza/nunua desktop(CPU only) kutoka Ebay au Amazon ikifaka bongo nailipia sh ngapi kama kodi au ushuru?
Mkuu sio ugomvi.
Mkuu Bavaria amekupa ushuhuda hapo kuwa yeye kuhakutozwa ushuru.
hakutozwa ushuru sababu mtu alikuja nayo kama personal effect.
ila ukiagiza ikaja kama parcel via dhl au fedex lazima ulipe ushuru..
Wapi nimesema hiyo pc imeletwa na mtu?
Wapi nimesema hiyo pc imeletwa na mtu?
kaka usibishe tu mradi unabisha.. fanya research kwanza.
by proffessional mi ni logistician na hizo ndio kazi nazofanya kila siku kwa mwajiri. pitia sheria ya Vat mpya kwanza ndio uje kubishana hapa..
hapa tunaelekezana tu sio sehemu ya kubishana
Mkuu usibishe alafu usijue unabisha na nani? kuanzia mwezi wa 7 mwaka huu computer zote zinalipiwa VAT, sasa wewe kupitisha hiyo pc hayo haiwezi kubadili maana...tunaokuambia tunajua sasa we endelea kubishaNa mimi sibishi nakueleza experience yangu.
Nimeagiza pc imefika siku za karibuni ndio maana nasema hivyo.
Au tuseme wali overlook?