Mzigo mkononi, Pesa mfukoni

Mzigo mkononi, Pesa mfukoni

Ubungo Mataa

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2018
Posts
411
Reaction score
725
WapambanaJi..

Nahitaji samaka wabichi aina ya Kambale (ukubwa wowote).

Kiasi chochote nahitaji, kuanzia kilo 100, 200, 500 n.k kwa bei ya jumla,

Nahitaji kutoka kwa wavuvi.. Bei maelewano (0783343629)
 
WapambanaJi..

Nahitaji samaka wabichi aina ya Kambale (ukubwa wowote).

Kiasi chochote nahitaji, kuanzia kilo 100, 200, 500 n.k kwa bei ya jumla,

Nahitaji kutoka kwa wavuvi.. Bei maelewano (0783343629)
Dah yaan kuna msimu wa mvua kijijini kwetu uwa tunagawa tu maana hadi wana haribika
 
Back
Top Bottom