Ubungo Mataa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2018
- 411
- 725
Ndo natafuta connection ya Ruvu mkuu, unayo?nenda ruvu hapo utapata wa kutosha
Dah yaan kuna msimu wa mvua kijijini kwetu uwa tunagawa tu maana hadi wana haribikaWapambanaJi..
Nahitaji samaka wabichi aina ya Kambale (ukubwa wowote).
Kiasi chochote nahitaji, kuanzia kilo 100, 200, 500 n.k kwa bei ya jumla,
Nahitaji kutoka kwa wavuvi.. Bei maelewano (0783343629)
Ndo natafuta connection ya Ruvu mkuu, u
kwa kkusaidia panda gari za chalinze halafu ushuke ruvu darajani, pale ukiwa active utapata wadau wa kutoshaNdo natafuta connection ya Ruvu mkuu, unayo?
Asante sana mkuu.. Noted with thanks.kwa kkusaidia panda gari za chalinze halafu ushuke ruvu darajani, pale ukiwa active utapata wadau wa kutosha
aina nomaAsante sana mkuu.. Noted with thanks.