Mzigo mkubwa wa madeni ndio sababu kuu ya SGR kuishia porini, Kamwe haitofika Malaba wala Kisumu

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Kenya: Swelling Public Debt Interfered With SGR Extension to Kisumu, Yatani

Hiyo ni kwa mujibu wa waziri mpya wa deda wa Kenya, kauli hii inagonga msumari wa mwisho katika jeneza la matumaini ya Kenya kuwa na reli ya kisasa inayotumia umeme kama alivyokua akitoa ahadi za uongo Bw. Macharia.

Tanzania njia ni nyeupe kuunganisha nchi zote za Afrika mashariki yaani Rwanda, Uganda, Burundi, DRC na South Sudan kwa kutumia Bullet trains. Ama kweli kuchimba sana sio kumaliza uchafu, ujanja mwingi mwisho ni giza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
deda ndo nini?
 
As an economist, i can tell you South Sudan and Burundi will never have bullet trains in the next 100 years. Propaganda ya utoto ya CCM usilete kwenye forum ya watu wazima.
 
Hizi nchi zinapaswa kujenga reli tu, trains zitatoka Tanzania, kumbuka Tanzania tunaruhusu mtu au kampuni kununua trains zao na kuzitumia katika reli yetu, atalipia matumizi ya reli kama gari zinavyolipia matumizi ya barabara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
why not? umeme si lazma utoka Burundi au South Sudan (yenye mafuta ya kumwaga)! umeme wa SGR unaweza toka Tanzania!
Pesa ya kujenga watatoa wapi? Hivi unajua priority ya serikali hizi kweli? Priority ni kujenga barabara ama kujenga reli? Hata power grid hawana maana umeme upo Juba tu. Waanze kujenga power grid kwanza wapeleke umeme kwa wananchi wao kwanza kisha waanze kufikiria mambo ya bullet train. Hata piped water hawana. Hivi nyie Watanzania mnadhani kuwa S. Sudan ni nchi kweli au ni mfano wa nchi? S.Sudan ni top ten poorest countries in the world. Burundi ni shithole sana. Hamna kitu cha maana pale Burundi. Bullet train ni kitu cha kifahari, nchi kama Uganda, Kenya, Tanzania na Ethiopia pekee ndio zinaweza kujenga. Somalia nayo ni shithole ingine, haiwezi kujenga bullet train kwa miaka mia moja ijayo. Vita huwa inafilisisha nchi kabisa. Waanze kujenga barabara kwanza na kuwapa watu maji safi kabla ya kurukaruka eti bullet train. Hao bullet wanayoijua ni ya bunduki tu.
 
Mnamhujumu mpendwa wetu vinginevyo angeshamaliza
Mala mkamate ndege
Mala mkulima nae anadai
Mala msitishe mikopo
Basi alimradi visa tupu
Hakyanani Mungu anawaona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa ya kujenga watatoa wapi? Hivi unajua priority ya serikali hizi kweli? Priority ni kujenga barabara ama kujenga reli? Hata power grid hawana maana umeme upo Juba tu. Waanze kujenga power grid kwanza wapeleke umeme kwa wananchi wao kwanza kisha waanze kufikiria mambo ya bullet train. Hata piped water hawana. Hivi nyie Watanzania mnadhani kuwa S. Sudan ni nchi kweli au ni mfano wa nchi? S.Sudan ni top ten poorest countries in the world. Burundi ni shithole sana. Hamna kitu cha maana pale Burundi. Bullet train ni kitu cha kifahari, nchi kama Uganda, Kenya, Tanzania na Ethiopia pekee ndio zinaweza kujenga. Somalia nayo ni shithole ingine, haiwezi kujenga bullet train kwa miaka mia moja ijayo. Vita huwa inafilisisha nchi kabisa. Waanze kujenga barabara kwanza na kuwapa watu maji safi kabla ya kurukaruka eti bullet train. Hao bullet wanayoijua ni ya bunduki tu.
Bahati nzuri reli tunayojenga inaweza kutumia Diesel engines pia, ndio sababu katika locomotives tulizoagiza, 5 ni diesel engines, kwahiyo zitafika kote huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa ya kujenga watatoa wapi? Hivi unajua priority ya serikali hizi kweli? Priority ni kujenga barabara ama kujenga reli? Hata power grid hawana maana umeme upo Juba tu. Waanze kujenga power grid kwanza wapeleke umeme kwa wananchi wao kwanza kisha waanze kufikiria mambo ya bullet train. Hata piped water hawana. Hivi nyie Watanzania mnadhani kuwa S. Sudan ni nchi kweli au ni mfano wa nchi? S.Sudan ni top ten poorest countries in the world. Burundi ni shithole sana. Hamna kitu cha maana pale Burundi. Bullet train ni kitu cha kifahari, nchi kama Uganda, Kenya, Tanzania na Ethiopia pekee ndio zinaweza kujenga. Somalia nayo ni shithole ingine, haiwezi kujenga bullet train kwa miaka mia moja ijayo. Vita huwa inafilisisha nchi kabisa. Waanze kujenga barabara kwanza na kuwapa watu maji safi kabla ya kurukaruka eti bullet train. Hao bullet wanayoijua ni ya bunduki tu.
waulize humu

wenzio wako busy kufanya feasibility study!

Endelea kuwa na self denial attitude ila nakuhakikishia Mwanza Isaka tender is about to be floated! And once phase III kicks off before end of this year phase IV will also start! U need to know the proximity of Uganda to Mwanza and Burundi to Kigoma will be above anything when it comes into these countries' decision to choose btn Central and Northern corridors! Mind u electrical SGR is way cheaper to operate in comparison to diesel SGR!

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096
 
Hata hiyo Diesel pia imewashinga kuifikisha Malaba, Uganda hawana tena option ya reli isipokua "Central corridor only"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kuwa na self denial attitude ila nakuhakikishia Mwanza Isaka tender is about to be floated! And once phase III kicks off before end of this year phase IV will also start! U need to know the proximity of Uganda to Mwanza and Burundi to Kigoma will be above anything when it comes into these countries' decision to choose btn Central and Northern corridors! Mind u electrical SGR is way cheaper to operate in comparison to diesel SGR!

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096
Hio route ya Mwanza to Uganda iko viable lakini hio route ya Kigoma to Burundi is not economically feasible. Sisi kama wachumi huwa tunaangalia kama nchi ina uwezo aidha wa kuomba loan kubwa ya kujenga reli au kama ina kusanya taxes za kutosha kujenga reli. Burundi haiwezi kujenga reli. Haikusanyi tax ya kutosha na Hamna benki inayoweza kuipa loan ya mabilioni ya dollar. Ndio, Tanzania mtajenga reli hadi kwenye border ya Burundi lakini shithole Burundi itashindwa kupata pesa ya kujenga reli kutoka border hadi Bujumbura. Uganda wanaweza jenga reli kwa sababu wana uchumi strong kidogo. Sio nchi zote zinazoweza kujenga reli.
 
Burundi itaenda mpaka DRC pia! na Rais wa DRC anaiunga mkono! Wacha AfDB ama WB wakatae ku-finance na si a fool like u! why worries my foolish friend? Nyege corona zinakuwasha? mara mdai Rwanda economy ya Nakuru? Ni nini haswa mnawashwa?

Burundi itaenda mpaka DRC pia! na Rais wa DRC anaiunga mkono! Wacha AfDB ama WB wakatae ku-finance na si a fool like u!
World bank wana maringo. Hata walikataa kufinance Sgr ya Ethiopia, ya Kenya na yenu pia. Wanasema nchi za East Africa ni masikini na haziwezi afford kujenga railway. Ndio maana nyie mkaendea standard chartered bank for a commercial loan ambayo ni more expensive than WB loan. WB ndio bank inayotoa loan affordable sana ila wana maringo sana. Kenya na Ethiopia waliamua kuendea Chinese loan. Burundi ni masikini hadi China ikaamua kujengea rais wao ikulu bure bila mkopo maana China walijua hawa watu hawawezi lipa.
 
leta evidence loan yetu ni more expensive than what Mchina did to u! AfDB r already financing Feasibility study for Kigoma-Burundi-DRC

Afdb usually don't finance 100% of the project. They usually contribute a certain percentage of the value of the project. Plus this railway is a white elephant. East Congo bado wanalipuana marisasi na mabomu, hio treni italipuliwa tu. Loan yenu ni more expensive than WB ila sijui kama ni more expensive than yetu. East Africa hakuna nchi iliyopata mkopo wa WB kujenga reli.
 
Back
Top Bottom