Mzigo mpya wa mashine za kutotoleshea mayai

Mzigo mpya wa mashine za kutotoleshea mayai

Joined
Jul 21, 2012
Posts
94
Reaction score
22
kwa wajasiliamali wadogo.mashine mpya zimeingia.wahi mapema .mawasiliano zaidi 0754 645253
 

Attachments

  • 1433687223578.jpg
    1433687223578.jpg
    35.7 KB · Views: 624
Ya mayai mia tatu ,mia tano mpaka elfu moja ni kiasi gani
 
Aisee hii biashara imeingiliwa, yaani milango iko upande halafu unasema mashine mpya, duh!
 
mkuu hayo ni ma box .full contena la futi 40.kama unahitaji namba zangu zipo hapo.unacholaumu nini.kuweka bei au kutokuweka ni sawa tu.
 
Hizi mashine hazina kodi,na zinakouzwa ni bei chee,lakini wabongo wanavyoziuza bei ndefu hatareeee
 
mkuu unalengo gani kwani. hiyo hapo

Ndugu nahisi kama una hasira, biashara haiendi hivyo, au umelazimishwa kupost hilo tangazo humu ? Wengi wetu huvutiwa na kitu kwa kuona pamoja na bei. Utapigiwa simu na wangapi ? Samahani kama nitakukwaza
 
mkuu bei isikupe taabu.tunaogopa kuharibu biashara za watu .wauzaji tuko wengi na kila mmoja ana bei zake.Tujitahidi kuwa na hekima kidogo
 
mkuu bei isikupe taabu.tunaogopa kuharibu biashara za watu .wauzaji tuko wengi na kila mmoja ana bei zake.Tujitahidi kuwa na hekima kidogo

hahaha kazi ipo heshima ipi unataka mkuu tujaribu kujibrush na elimu ya marketing tukiwa tunajiandaa kwenye biashara la sivyo hili ni janga
 
Back
Top Bottom