Mzigo mpya wa mashine za kutotoleshea mayai

Mzigo mpya wa mashine za kutotoleshea mayai

hahaha kazi ipo heshima ipi unataka mkuu tujaribu kujibrush na elimu ya marketing tukiwa tunajiandaa kwenye biashara la sivyo hili ni janga
Nchi hii kwenye bihashara bado sana. Acha wahindi waendelee kutuibia tu.
 
vifaa ziada .unapata vinakuwa vimeambatanishwa na mashine
 

Attachments

  • 1438610537874.jpg
    1438610537874.jpg
    45.3 KB · Views: 127
Kuna mambo ya msingi ambayo hayajaandikwa na mtangazaji.... Specifications na bei ni muhimu sana kwa biashara yoyote.
 
Back
Top Bottom