N Ndole JF-Expert Member Joined Jul 1, 2011 Posts 349 Reaction score 60 Jul 18, 2015 #21 christmas said: hahaha kazi ipo heshima ipi unataka mkuu tujaribu kujibrush na elimu ya marketing tukiwa tunajiandaa kwenye biashara la sivyo hili ni janga Click to expand... Nchi hii kwenye bihashara bado sana. Acha wahindi waendelee kutuibia tu.
christmas said: hahaha kazi ipo heshima ipi unataka mkuu tujaribu kujibrush na elimu ya marketing tukiwa tunajiandaa kwenye biashara la sivyo hili ni janga Click to expand... Nchi hii kwenye bihashara bado sana. Acha wahindi waendelee kutuibia tu.
renatus mwanisenga Member Joined Jul 21, 2012 Posts 94 Reaction score 22 Aug 3, 2015 Thread starter #22 vifaa ziada .unapata vinakuwa vimeambatanishwa na mashine Attachments 1438610537874.jpg 45.3 KB · Views: 127
Hossam JF-Expert Member Joined Feb 10, 2011 Posts 3,544 Reaction score 2,169 Aug 3, 2015 #23 renatus mwanisenga said: vifaa ziada .unapata vinakuwa vimeambatanishwa na mashine Click to expand... Nimekupm. Pia vp yanakuwa na backup power supply maana bongo umeme ni tabu.
renatus mwanisenga said: vifaa ziada .unapata vinakuwa vimeambatanishwa na mashine Click to expand... Nimekupm. Pia vp yanakuwa na backup power supply maana bongo umeme ni tabu.
Javis Elias Balilemwa JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 489 Reaction score 67 Aug 3, 2015 #24 bei ngapi
renatus mwanisenga Member Joined Jul 21, 2012 Posts 94 Reaction score 22 Aug 3, 2015 Thread starter #25 zipo ukubwa tofauti mkuu
talentbrain JF-Expert Member Joined Oct 5, 2009 Posts 1,187 Reaction score 760 Aug 3, 2015 #26 Kuna mambo ya msingi ambayo hayajaandikwa na mtangazaji.... Specifications na bei ni muhimu sana kwa biashara yoyote.
Kuna mambo ya msingi ambayo hayajaandikwa na mtangazaji.... Specifications na bei ni muhimu sana kwa biashara yoyote.
napenda JF-Expert Member Joined Jul 14, 2015 Posts 485 Reaction score 90 Aug 3, 2015 #27 Mimi naona hana shida ya kuuza