Mzigo mzito mtwishe mnyamwezi.

Nzowa Godat

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2011
Posts
2,785
Reaction score
821
Kweli nimeamini msemo
usemao "mzigo mzito mtwishe
mnyamwezi" kuna viongozi
fulani wa serikali ya wanadamu
waliomba fedha kwa ajili ya
kuboresha elimu kwenye nchi
hiyo, badala yake
wakazikwapua zote, lakini
wafadhili wao wakawa
wanahitaji taarifa ya matumizi.
Wakaamua kuwatwisha walimu
wa nchi hiyo mzigo kwa
kufundisha bure, kuwatungia
vitest uchwala viiingi ili
wasahihishe bure, na tuvitisho
kibao twa kishamba-kishamba,
kwa walimu 'wanyamwezi' wa
nchi hiyo.
 

Nahisi bado nina hangover... ngoja nikapate supu..
 

Of all the people Wanyamwezi eti ndio watwishwe mzigo mzito du haya ngoja waje wengine maana mtasema mie nina chuki na wanyamwezi wako
 
Si useme tu ni Tanzania? Au unaogopa kung'olewa KushanKushan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…