Mzigo nilioagiza umekwama kwa carrier wasambazaji wa SpeedAF

Mzigo nilioagiza umekwama kwa carrier wasambazaji wa SpeedAF

SuperHb

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2016
Posts
1,020
Reaction score
1,057
Habari ndugu...

Nimeagiza (WIFI ROUTER) AliExpress...
Inaonyesha mzigo imeshafika kwenye Kituo changu


Sasa nashangaa nikitrack...inaonyesha mzigo umefail kunifikia eti amba yangu hapatikani...
Nimejaribu kwenda Kituo Cha kupokelea mizigo mtaani kwangu..wanasema haujafika...sasa sielewi
​
Screenshot_20260519-104727_1.jpg
 
Back
Top Bottom