Nimeagiza (WIFI ROUTER) AliExpress...
Inaonyesha mzigo imeshafika kwenye Kituo changu
Sasa nashangaa nikitrack...inaonyesha mzigo umefail kunifikia eti amba yangu hapatikani...
Nimejaribu kwenda Kituo Cha kupokelea mizigo mtaani kwangu..wanasema haujafika...sasa sielewi