INAUZWA Mzigo upo sokoni huu, mteja unakaribishwa!

INAUZWA Mzigo upo sokoni huu, mteja unakaribishwa!

Pionaire

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
1,603
Reaction score
1,135
Habari wana JF,

Nauza hichi kitanda cha 5x6...Nilikinunua mwezi wa 3 tarehe 17 hivyo kina miezi mitatu kasoro tu tokea kinunuliwe na upya wake, kikiwa kipya kinauzwa Tsh 547,000/= cash...nakiuza Tzs 420,000/=

Ni mali halali si ya wizi na hakina tatizo lolote bali ninahitaji hiyo pesa niitumie katika mipango yangu mengine ya maendeleo, mteja anakaribishwa na bei pungufu inasikilizwa pia, nipo Dar napatikana kwa 0712269097...KARIBUNI.

IMG_20200527_144838.jpg
IMG_20200527_144927.jpg
IMG_20200527_145004.jpg
IMG_20200527_145104.jpg
IMG_20200527_145209.jpg
IMG_20200527_145254.jpg
IMG_20200527_145343.jpg
IMG_20200527_145806.jpg
IMG_20200527_150006.jpg
IMG_20200527_150110.jpg
IMG_20200527_150242.jpg
IMG_20200527_150314.jpg
IMG_20200527_150419.jpg
IMG_20200527_150431.jpg
IMG_20200527_150512.jpg
IMG_20200527_150613.jpg
IMG_20200527_150916.jpg
IMG_20200527_151048.jpg
IMG_20200527_151133.jpg
 
Habari wana JF, nauza hichi kitanda cha 5x6...Nilikinunua mwezi wa 3 tarehe 17 hivyo kina miezi mitatu kasoro tu tokea kinunuliwe na upya wake, kikiwa kipya kinauzwa Tsh 547,000/= cash...nakiuza Tzs 420,000/=

Ni mali halali si ya wizi na hakina tatizo lolote bali ninahitaji hiyo pesa niitumie katika mipango yangu mengine ya maendeleo, mteja anakaribishwa na bei pungufu inasikilizwa pia, nipo Dar napatikana kwa 0712269097...KARIBUNI.

View attachment 1461499View attachment 1461500View attachment 1461501View attachment 1461502View attachment 1461503View attachment 1461504View attachment 1461505View attachment 1461507View attachment 1461508View attachment 1461509View attachment 1461510View attachment 1461511View attachment 1461512View attachment 1461513View attachment 1461514View attachment 1461517View attachment 1461518View attachment 1461520View attachment 1461521
420,000/= ni bei ya vitanda vinne Kama hivyo. Kama umenunua kitanda kimoja kwa bei ya vitanda vinne pole Sana.
 
Nilikua nashangaa hiyo bei, kwakweli ni ngumu kuelewa.

Cha kushangaza ni kipi nyie watu...sasa kama washangaa ilo na ivyo hapo chini ungefanyaje???

FireShot Capture 005 - (1) Facebook - www.facebook.com.png

je kwa wewe ungeweza kununua kitanda chenye designing iyo kwa milioni 1 na laki 8???...lakini wapo waliokipenda wakakinunua, ingawaje wewe waweza ukaona kwako iyo bei ni kubwa kulinganisha icho kitanda hapo.

FireShot Capture 010 - Beds in Arusha - ZoomTanzania - www.zoomtanzania.com.png

je waweza kununua kitanda kama icho hapo juu pichani kwa milioni 1 na laki 7??? tena used sasa, lakini wapo waliokipenda wakakinunua ilihali wewe utaona bei haiendani na icho kitanda hapo pichani.

FireShot Capture 007 - kitanda in Dar Es Salaam - ZoomTanzania - www.zoomtanzania.com.png

je ingekuwa ni wewe ungethubutu kutoa milioni 2 na laki 8 kununua icho kitanda cha chuma apo juu???, lakini wapo watu waliokipenda na wakanunua kwa bei hiyo ambayo wewe unaweza ona kwa kitanda cha chuma hakiwezi kuwa na thamani hiyo.
 
420,000/= ni bei ya vitanda vinne Kama hivyo. Kama umenunua kitanda kimoja kwa bei ya vitanda vinne pole Sana.

Dah!...unakuta ni mtu mzima unatumia muda wake muhimu kabisa kutoa pole kwenye biashara ya mtu kana kwamba vile kuna Msiba au kuumwa, naonaga comments zako nyingi zikiwa ni attacking minded, simply!...sasa kama waona iyo laki.4 unapata kama ivyo vinne kulikuwa na haja gani ya kuropokwa ivyo maana ingekuwa ni suala lawewe mwenyewe na pesa yako ukavinunue huko mahali, kama iyo laki.4 unapata vitanda vya mtondoo kama ivyo vinne je vipi milion 2 na laki 8 hapo chini utavipata kama hivi vya chuma vingapi???

FireShot Capture 007 - kitanda in Dar Es Salaam - ZoomTanzania - www.zoomtanzania.com.png

lakini yupo mtu atakipenda icho kitanda na atakinunua kwa iyo 2.8m, ivyo usiwe unapoteza muda wako katika attacking comments dhidi ya kitu ambacho hakina manufaa na wewe, BADILIKA NDUGU!
 
Labda laki moko nanunua fasta

Acheni dharau jamani kama kitu hukihitaji ujalazimishwa ama kushikiwa silaha...kwa atakayehitaji atanitafuta, kama hicho kitanda cha mtondoo ununue laki je icho cha chuma hapa utanunua bei gani??? na kinauzwa laki.3 na nusu kikiwa used pia.
FireShot Capture 013 - Bed 5 X 6 in Dar Es Salaam - ZoomTanzania - www.zoomtanzania.com.png
 
Ambaye hajaelewa kama mimi tujuane ni 54000 au 540000?

Sent using Jamii Forums mobile app

sikukuelewa ila kama ulimaanisha icho kitanda ni elfu hamsini na nne(54,000/=)...nawasiwasi na halimashauri ya kichwani kwako, yani kitanda cha mtondoo kikawe cheaper ivyo 4x ya kitanda cha chuma, acha masihara kiongozi ebu kuwa serious aisee...sasa kama icho ni elfu 54/=, je hichi hapa chini cha chuma ni bei gani?
FireShot Capture 011 - Kitanda Cha Chuma in Dar Es Salaam - ZoomTanzania - www.zoomtanzania.com.png
 
sikukuelewa ila kama ulimaanisha icho kitanda ni elfu hamsini na nne(54,000/=)...nawasiwasi na halimashauri ya kichwani kwako, yani kitanda cha mtondoo kikawe cheaper ivyo 4x ya kitanda cha chuma, acha masihara kiongozi ebu kuwa serious aisee...sasa kama icho ni elfu 54/=, je hichi hapa chini cha chuma ni bei gani?
View attachment 1462012
Duuh Mkuu una Muda!
 
Labda niweke kitu kimoja sawa ambacho hakikuweza kueleweka kwa baadhi ya watu, hiyo designing ya icho kitanda sio unique kabisa maana vipo vitanda vya hadi laki mbili vinavyofanana showcase ya front view na icho nilichopost na watu wengi wameiyona iyo designing kwenye maeneo mengi labda ndo sababu ya kuona tofauti katika bei, lakini kwa wanaojua vitanda UBORA WA VITANDA NI MBAO ILIYOTUMIKA.
FireShot Capture 006 - (1) Facebook - www.facebook.com.png

Yani kwa maana nyingine kitanda kama kilivyo icho kingetengenezwa kwa mbao ya mwembe. mnazi au msederea nisingenunua kwa bei hiyo yaani kingeuzwa bei ya chini kulinganisha na mbao ya mtondoo(moja ya mbao inayojulikana kama hardwood pamoja na mninga..n.k), jaribuni kuona mfano tu wa cost za miti ya mbao in class I - III per stem...katika sheria no.10 ya mwaka 1996 inayotumika zanzibar.
Capture.PNG

kwaivyo mtu kama kitu hujapenda kukinunua waweza kukipita tu...haina tatizo lakini sio kugeuza biashara ya mtu dimba la kurusha maneno kama "ULINYOOSHWA NDUGU"...Niseme kila mtu anauelewa dunia ya leo kama mtu anapohitaji kununua gari yadi anatafuta fundi wake anayemuamini anakwenda nae then anafanya quick assessment kama lipo sawa then boss ananua, ivyo ata mie nilitafuta carpenter wangu nayemuamini...alikikagua akanishauri na kwakuwa niilikipenda nikanunua wakuu na sio vinginevyo, pia ifahamike KWA MFANO: ata smartphone waweza ikuta MLIMAN CITY ni million.1, lakini posta ikawa laki.8.5 ukafatilia K/koo ukaipata kwa laki.7 na ni simu ileile kama uliyoiacha M/CITY...ivyo tusikariri kuwa namba 6 sikuzote ni sita...hapana kuna sehemu nyingine hiyo namba sita inageuzwa inakuwa 9 na watu wanaendelea kuisoma kama NINE badala ya SIX. AU ni sawa na kulazimisha mtu mwengine kuuza kiwanja kama ulivyouza chakwako kwa bei ileile kisa kimefanana SQUAREMETRE, wakati kuna vichocheo vitazingatiwa na muuzaji kama vile LOCATION ya kiwanja, POPULATION GROWTH ya mahali husika na umbali kutoka BARABARA KUU YA USAFIRISHAJI yaani kiwanja kinafikika kwa urahisi. ni hayo tuu!
 
Dah!...unakuta ni mtu mzima unatumia muda wake muhimu kabisa kutoa pole kwenye biashara ya mtu kana kwamba vile kuna Msiba au kuumwa, naonaga comments zako nyingi zikiwa ni attacking minded, simply!...sasa kama waona iyo laki.4 unapata kama ivyo vinne kulikuwa na haja gani ya kuropokwa ivyo maana ingekuwa ni suala lawewe mwenyewe na pesa yako ukavinunue huko mahali, kama iyo laki.4 unapata vitanda vya mtondoo kama ivyo vinne je vipi milion 2 na laki 8 hapo chini utavipata kama hivi vya chuma vingapi???

View attachment 1462008

lakini yupo mtu atakipenda icho kitanda na atakinunua kwa iyo 2.8m, ivyo usiwe unapoteza muda wako katika attacking comments dhidi ya kitu ambacho hakina manufaa na wewe, BADILIKA NDUGU!
JF ina watu wa tofaut sana aisee. Ndio maana hata michango yetu iko tofauti.

Mtu ananishambulia na kuleta reference ya kitanda cha chuma chenye godoro wakati mi nimetoa bei ya kitanda cha mbao.

Na anajiona hapo yuko sahihi kabisa huku akilaumu kua nimeweka bei ndogo. Tena anadai "ndio kawaida yangu".

Yeye hapo kwa akili zake haoni kabisa kua hapo tunazungumzia vitu tofauti, Mimi kwa Sasa nikupe tu pole, nitarud Tena.
 
Mleta Tangazo hujakosea kabisa, naona pia umejaribu kutoa maelezo marefu ili kuweka uhalali wa bei uliyotangaza bidhaa yako.
Lakini pia wanaopingana nawe wapo sahihi sana, kwani hutegemea bidhaa husika imenunuliwa kutoka wapi.
Kitanda ulichotangaza ni kweli unaweza kupata kwa bei ya chini kuliko uliyotangaza
Kwa hiyo maadam umeweka tangazo wapo wanaoweza kununua ni suala la kusubiria tu
 
Back
Top Bottom