Nilikua nashangaa hiyo bei, kwakweli ni ngumu kuelewa.
420,000/= ni bei ya vitanda vinne Kama hivyo. Kama umenunua kitanda kimoja kwa bei ya vitanda vinne pole Sana.Habari wana JF, nauza hichi kitanda cha 5x6...Nilikinunua mwezi wa 3 tarehe 17 hivyo kina miezi mitatu kasoro tu tokea kinunuliwe na upya wake, kikiwa kipya kinauzwa Tsh 547,000/= cash...nakiuza Tzs 420,000/=
Ni mali halali si ya wizi na hakina tatizo lolote bali ninahitaji hiyo pesa niitumie katika mipango yangu mengine ya maendeleo, mteja anakaribishwa na bei pungufu inasikilizwa pia, nipo Dar napatikana kwa 0712269097...KARIBUNI.
View attachment 1461499View attachment 1461500View attachment 1461501View attachment 1461502View attachment 1461503View attachment 1461504View attachment 1461505View attachment 1461507View attachment 1461508View attachment 1461509View attachment 1461510View attachment 1461511View attachment 1461512View attachment 1461513View attachment 1461514View attachment 1461517View attachment 1461518View attachment 1461520View attachment 1461521
Nilikua nashangaa hiyo bei, kwakweli ni ngumu kuelewa.
420,000/= ni bei ya vitanda vinne Kama hivyo. Kama umenunua kitanda kimoja kwa bei ya vitanda vinne pole Sana.
Labda laki moko nanunua fasta
Duuh Mkuu una Muda!sikukuelewa ila kama ulimaanisha icho kitanda ni elfu hamsini na nne(54,000/=)...nawasiwasi na halimashauri ya kichwani kwako, yani kitanda cha mtondoo kikawe cheaper ivyo 4x ya kitanda cha chuma, acha masihara kiongozi ebu kuwa serious aisee...sasa kama icho ni elfu 54/=, je hichi hapa chini cha chuma ni bei gani?
View attachment 1462012
JF ina watu wa tofaut sana aisee. Ndio maana hata michango yetu iko tofauti.Dah!...unakuta ni mtu mzima unatumia muda wake muhimu kabisa kutoa pole kwenye biashara ya mtu kana kwamba vile kuna Msiba au kuumwa, naonaga comments zako nyingi zikiwa ni attacking minded, simply!...sasa kama waona iyo laki.4 unapata kama ivyo vinne kulikuwa na haja gani ya kuropokwa ivyo maana ingekuwa ni suala lawewe mwenyewe na pesa yako ukavinunue huko mahali, kama iyo laki.4 unapata vitanda vya mtondoo kama ivyo vinne je vipi milion 2 na laki 8 hapo chini utavipata kama hivi vya chuma vingapi???
View attachment 1462008
lakini yupo mtu atakipenda icho kitanda na atakinunua kwa iyo 2.8m, ivyo usiwe unapoteza muda wako katika attacking comments dhidi ya kitu ambacho hakina manufaa na wewe, BADILIKA NDUGU!
Duh!!!,walimuonea sana jamaa yetu.Ila kama ni kweli hiyo bei ndiyo ulinunua hicho kitanda, basi walikunyoosha ndugu