Biggs
JF-Expert Member
- May 3, 2014
- 2,068
- 2,314
Ingependeza tungejua sababu za kibali kutotolewa !! (Jee zina mashiko !!?)Mkuu kuna kitu huelewi.
Nimekuwekea updated list ya nchi zote zilizo na huduma ya Starlink na zinazosubiria. Tanzania haimo.
Tanzania haimo kwa sababu bado hawajatoa kibali ama ruhusa Starlink itumike Tanzania. Serikali ikitoa kibali basi na Starlink wataiweka Tanzania kwenye orodha ya waiting countries. Kenya, Zambia unaziona zipo kwa sababu walishatoa kubali.
Hope umeelewa.
https://thechanzo.com/2023/03/01/tanzania-wants-starlink-to-set-up-physical-office-in-the-country-to-receive-operational-approvals/
Tanzania: Starlink must meet requirements before approval, TCRA says